Uchunguzi: Ngono zembe inaharibu bahati na future

Hujui usemalo unadanganywa video vya ngono.
Wazungu wengi waaminifu mno.
Hasa us ukishikwa uzinzi utapata tabu mnoo
Uzinzi ni nini? Nafikiri nikufanya mapenzi kabla ya ndoa. Mtu anaweza kuwa mwaminifu ila mzinzi tu, yaani anazini na mtu wake huyo huyo ila ni mzinzi. Wazungu wazinzi wako wengi tu kama binadamu mwingine. Hizi ni imani tu hakuna cha nuksi wala nini.
 
Uzinzi ni kula nje ya ndoa.

Kula kabla hujaoa ni uasherati
 
Well said sir!!
 
FORNICATION/ADULTERY NI BOMU LA NYUKLIA KWENYE MAISHA YA MTU WA SASA NA YULE AJAYE. ROBERT NIKIJA TANZANIA NITAKUONA, MUNGU AKUBARIKI.
 
MADHARA YA UZINZI;

  • Uchumi kudorola,
  • Nguvu za kiroho kupotea,
  • Afya kudumaa,
  • Kuzeeka mapema kabla ya wakati.

Mungu akuwezeshee neema Chifu uzidi kuwa imara kiafya, kiroho na kiakili maana tayari shetani anapambana nawe hivi sasa kwa kumnyang'anya Wafuasi wake tokana na injili unayowapatia.
 
Amina Mkuu. Barikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…