Uchunguzi ulilenga kumkuta Hamza Mohammed Gaidi

Tume ya uchunguzi ya kijaji inahusika hapa. Polisi ni watuhumiwa. Hawajawahi kutoa ripoti inayoaminika.
 
Tatzo wew upo kidini zaid haupo kwny ukwel
Wambura na Sirro wenyewe wapo kwenye udini ndio maana walijielekeza kwenye dini kwani Sirro alianza kutoa hukumu kabla ya huo walioita uchunguzi,je Wambura anaweza kutuambia ni dini gani mafundisho yake hayo aliyoyaita ni ufia dini inafundisha kufia dini ni kuua polisi.
 
Heri yule zezeta Boaz alikua anakaa nyuma ya Zirro anacheka tuwala haongei kitu lakini huyu wa sasa eti Kachero , hahaaaa anatia aibu sana DCI kama dcia yani
 
Matukio kama la yule jamaa hufanyika sana huko Marekani wangesema nao wayatambue kama ugaidi basi huko Marekani kungekuwa na magaidi ya kutosha.

Bas tafsir ya Ugaid kwa Marekan na hapa kwetu zitakua znakinzana. Anyway ila mm cjaon ishu san kwa kua tukio lilishapita na limeshatokea hat wangeita jina gan ndo hvyo tna haliwez rudsha uhai wa waliopotea
 
Ila mkuu linapokuja suala la Dini Mimi sioni kama Tanzania Kuna udini kiasi hicho manaake hata hao maaskari wengi wao ni waislam sidhani kama serikali imeajiri wakrito pekeake
 
Wanaomtetea Hamza, mmesikia leo polisi wa New zealand walivomuwasha gaidi aliewachoma watu visu kwenye shopping mall?? Na alikua na kisu tu, huyu Hamza alikua AK47 mbili na pistol juu. Alistahili kabisa kuwashwa za kichwa.mfyuuu
 
Sijui kwanini hii ishu ya Hamza imenifanya nikakumbuka kisa cha SAID ABDALLAH SIULANGA MWAMWINDI VS Dr. WILBERT KLERUU
Mwamwindi alliudhiwa na dr kleruu akamtwanga risasi na kesi ikaendeshwa haraka haraka akahukumiwa kunyongwa na JKN akasaini haraka sana jamaa akanyongwa!!! It is believed to be the only signature he signed on criminals who had death sentences.
 
hatuna jeshi la police hawa ni waporaji na wauaji
 
Polisi wetu bwana; ni vituko tupu. "Mbowe alivunja mguu kwa ulevi. Hamza ni gaidi aliyechagua wa kuua (selective terrorist)".
 
Sijui kwanini hii ishu ya Hamza imenifanya nikakumbuka kisa cha SAID ABDALLAH SIULANGA MWAMWINDI VS Dr. WILBERT KLERUU

Bwana Mwamwindi historia inaeleza alikerwa kwa kiwango kisicho vumilika.

Matokeo yake yakawa hayo ya kuuwawa kwa risasi kwa Dr. Kleruu.

Hakuna unaposomeka ugaidi kwenye kadhia hiyo japo naye alivaa baraghashia na alikuwa mfuasi wa SAW.



Polisi wito kujitathmini ni wito wa kiungwana.

Kusubiri damu kuwatoka masikioni ni uchaguzi wenu.
 
Siku hizi ukileta za kuleta mawili yanakuhusu;
Wewe sio raia au
wewe ni gaidi (mdogo wake na osama)
 
Siku hizi ukileta za kuleta mawili yanakuhusu;
Wewe sio raia au
wewe ni gaidi (mdogo wake na osama)

Kwanini mabeberu haki, usawa na kuaminiana kumetamalaki na wanaishi kwa amani bila ya utegemezi wa Mola kama ilivyo kwetu?

Viongozi wetu kucha kutwa kumtaja Mola hali wakiwa ni wadhwalimu wakubwa, wauaji, wasingiziaji, dhulumati, wabinafsi, wabaguzi nk.

Makwetu kila kona hakukosekani misikiti au makanisa. Tuna ujasiri hata wa kuiambia dunia Mola katufukuzia Corona na au eti matumaini yetu ni kwake.

Wanafiki wakubwa.
 
Polisi wetu bwana; ni vituko tupu. "Mbowe alivunja mguu kwa ulevi. Hamza ni gaidi aliyechagua wa kuua (selective terrorist)".

Hawa jamaa ni Zigo kwa hii nchi haipo hata sababu ya kumung'unya maneno.

Idadi ya watu ambao wangelazimika kuyafanya ya Hamza given an opportunity si wachache.

Polisi wameumiza wengi wasiokuwa na hatia. Kuwalaumu hao bila kujiangalia wenyewe ni kumlaumu dobi hali kaniki ni rangi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…