Uchunguzi ulilenga kumkuta Hamza Mohammed Gaidi

Uchunguzi ulilenga kumkuta Hamza Mohammed Gaidi

Majina yake mawili tu tayari yanamfanya awe Gaidi pili msomali
 
kinachonisikitisha ni hasara aliyoipata Wambura , weledi wote aliokuwa nao umezikwa rasmi
kwa sababu tu hajasema hamza aliporwa dhahabu!!!

nyie watu,mnaendekeza siasa za mitaroni sana aisee.
 
Back
Top Bottom