amongidion Member Joined Jun 9, 2021 Posts 76 Reaction score 111 Sep 4, 2021 #61 brazaj said: Kikubwa ni kuwa kufahamu ukweli husaidia kuepuka madhila mengine yenye ukakasi kama haya. Click to expand... Je Mtu anawez fany tukio la kigaid na asiitwe gaidi?
brazaj said: Kikubwa ni kuwa kufahamu ukweli husaidia kuepuka madhila mengine yenye ukakasi kama haya. Click to expand... Je Mtu anawez fany tukio la kigaid na asiitwe gaidi?
M MTOCHORO JF-Expert Member Joined Dec 18, 2016 Posts 5,107 Reaction score 6,535 Sep 4, 2021 #62 Majina yake mawili tu tayari yanamfanya awe Gaidi pili msomali
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 31,415 Reaction score 38,761 Sep 4, 2021 #63 Erythrocyte said: kinachonisikitisha ni hasara aliyoipata Wambura , weledi wote aliokuwa nao umezikwa rasmi Click to expand... kwa sababu tu hajasema hamza aliporwa dhahabu!!! nyie watu,mnaendekeza siasa za mitaroni sana aisee.
Erythrocyte said: kinachonisikitisha ni hasara aliyoipata Wambura , weledi wote aliokuwa nao umezikwa rasmi Click to expand... kwa sababu tu hajasema hamza aliporwa dhahabu!!! nyie watu,mnaendekeza siasa za mitaroni sana aisee.