The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
kumbe hua una upumbavu wa kiasi hiki!Mimi sio Jeshi ila kupigwa kwa Gaidi la aina yoyote huwa najisikia faraja sana.
Unaulizwa swali unajibu vitu visivyohusika,what a rubbish.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbe hua una upumbavu wa kiasi hiki!Mimi sio Jeshi ila kupigwa kwa Gaidi la aina yoyote huwa najisikia faraja sana.
Swali lako lilikuwa kuhusu "mimi" mbona nimekujibu vema tu.kumbe hua una upumbavu wa kiasi hiki!
Unaulizwa swali unajibu vitu visivyohusika,what a rubbish.
TZ hawajawahi thubutu na hawatathubutu ng'oo.Kenya wakizidiwa c ndio wataanza na tz kuingia
Lete ushahidi wa unachoongea.Afu watakuja aah magaidi wanasupportiwa na US !!
ha ha ha muongo hafikagi mbali Hii dini ndo inaleta ugaidi wote duniani
Hasira unazitoa wap we gaidi !! mi nimekukosea nini kuniita popoma!!Lete ushahidi wa unachoongea.
Maana hapo ni suala la kidiplomasia sio la kidini.
Hata Alshabaab ni kundi la kikabila sio la kidini.
Houthi ni political organisation sio kundi la kidini.
Popoma pro max wewe.
Alichofanya Yemeni ni sawa na alichofanya Hillary Clinton/USA kufadhili Taleban ili kuivunja USSR.
Bado hujaelewa nilichoandika!?Hasira unazitoa wap we gaidi !! mi nimekukosea nini kuniita popoma!!
kusema hayo makundi ya islamic state ni ya kidini??
Kama si ya kidini ni ya kisiasa au?
We ndo hujielewiBado hujaelewa nilichoandika!?
Kweli ulistahili kuitwa Popoma
-Houthi ni political organisation.
-Alshabaab ni kundi la kikabila linalopigania kuweka utawala wake Somalia dhidi ya makabila mengine.
Alichofanya Houthi-Yemeni kuisapoti Alshabaab ni sawa na alichofanya USA kuisapoti Taleban na Chechens kuivunja USSR.
Hizo ni geopolitical games.
Wewe hujaelewa wapi!??
Lete ushahidi wa uislam kufadhili ugaidi hapa?
Nasubiri.
Mimi ni mumeo.Avatar yako we mzee na comment zako humu zinaonesha wewe ni mke wa FaizaFoxy
Kaifuatilie Houthi kabla ya 2014.We ndo hujielewi
Houthi ni shia affiliated group linalosupportiwa na iran siyo political nadhani hata political hujui maana yake
Al shababu ni hivo hivo ni kundi la kiislam ambalo halikubalian na jinsi somalia inavoendeshwa kidemocrasia
Walivoingia kenya waliua wakristu bado unaita ni la kipolitical??
kifupi ww unavimelea vya ugaidi
Kuua waislam wenzao haina maana kua ndo kundi sio la kidini!!Kaifuatilie Houthi kabla ya 2014.
Houthi ndio walioratibu shughuli za kisiasa tangia 1990s.
Houthi kuna sunni pia sio shia peke yake,na lile sio kundi la kidini bali ni jumuiya ya kisiasa ambayo inajiongoza kwa misingi ya dini.
Kwasababu Yemeni 80%+ ni waislamu.
-Alshabaab wanaua mpaka waislam wenzao wasiokua kabila lao,mmiliki wa City mall na City garden si aliuawa katika shambulio la Al shabaab walipovamia hotel Moghadishu!?
Jamaa kafia mule mule hakufanikiwa kurudi Tanzania na ni muislam.
Kama Alshabaab wanapigania uislam kwanini wasomali wenzao wanawachukia!?
Kamfuatilie Kinan Warsame aliyeimba Waivin flag usikilize anaongea nini kuhusu Alshabaab,wale wanapigania kabila sio dini.
Marekani iwaorodheshe Maharamia wote wote wa Kisomali kuwa ni washirika wa Ugaidi ili Apache ziende kuwamaliza.Hao watoto wa baba ni Pirates na watapiga hela kama walivyokuwa wanachukua kiulaini zamani
Sasa wamerudi tena baharini meli moja dau lake $40m
Kama ni mnoko hutakiwi huko, hakuna bahasha za khaki huko
Aaaah buddah acha fiksi!!Kuua waislam wenzao haina maana kua ndo kundi sio la kidini!!
Hamas wanarusha makombora zaidi ya elf 5000 israel na ndani ya israel kuna raia wa israel ambao ni waislam milion 2 waarabu wakipalestina waliopewa uraia??
Je hiyo inazuia gaidi kuto kurusha makombora???
Fikiria tena
mkuu hapa inaonesha huwa hufanyi tafiti kabisaAaaah buddah acha fiksi!!
Waislamu milioni 2 wawe ndani ya Israel!?
Acha utani,wakristo tu Israel wanaishi kwa tabu ije iwe waislamu!?
Hao milioni 2 ni population ya Gaza ambayo wakristo wapo pia hapo Gaza.
Sisi tunatizama mlengwa wa kundi,mlengwa wa kundi la Houthi la kisiasa na la Alshabaab ni la kikabila sio kidini.
Vivyo hivyo kwa Hamas.
What is the context of the organisation!?
Shida iko hapo.
Sijakataa wapo ila hawafiki 2 millions bro.mkuu hapa inaonesha huwa hufanyi tafiti kabisa
Hujui kama kuna muslim Arabs israel citizen??
Jielimishe usitumike vibaya
Si umesema kuwa Netanyahu amekubali masharti ya Hamas mkuu tishike lipi sasa maalim?Kila Netanyahu anavyozidi kudharau nasaha na maazimio ndivyo anavyojikaribisha kwenye janga kubwa zaidi.
Termux umeliona hilo ?
Mkuu kabisa.Alshababu wenyewe mlo wa mchana mpaka wakawaue Wafugaji wa Kisomali halafu waibe Mbuzi.