Uchunguzi unaendelea kufuatia taarifa kuwa Houthi wameanza ushirikano na Al Shabaab kupambana na Israel

Kuna watu walikuwa wanakanusha kuwa Al Shabaab sio kundi la kigaidi la kiislamu.

Sasa sijui bado baada ya kuona hii wataendelea na msimamo wao au wata switch.
Acha tu hao hao wanaokanusha ndiyo hao hao wanaleta hizi habari. Mpaka unashangaa. Ninachokiona wakipigwa wanakanusha hawajihusishii now. Wakipiga wanahusika nao.
 
Sijakataa wapo ila hawafiki 2 millions bro.
2 millions idadi kubwa sana,waislam wapo Israel ila sio idadi hiyo ya milion 2.
Labda ulete sensa hapa tuone na tuthibitishe.
 
Attachments

  • 40A20BA2-9086-4A0D-891C-9E1AEB8BB486.jpeg
    40A20BA2-9086-4A0D-891C-9E1AEB8BB486.jpeg
    247.4 KB · Views: 2
Hali inazidi kuwa tete katika mashariki ya kati na kwa Israel kufuatia taarifa kwamba wapiganaji wa Houth wameanza mazungumzo ya kuwapatia wanamgambo wa Alshabaab silaha kama walizonazo wao ili kuongeza nguvu katika vita vya meli zinazopita bahari zilizo karibu nao zenye uhusiano na Israel na washirika wake.

US intelligence assesses Houthis in Yemen in talks to provide weapons to al-Shabaab in Somalia, officials say

Two Satan join together to fight "God of Israel"
 
Kila Netanyahu anavyozidi kudharau nasaha na maazimio ndivyo anavyojikaribisha kwenye janga kubwa zaidi.
Termux umeliona hilo ?
Netanyahu ana Mungu wa Kweli na haogopi Miungu uchwara masanamu ya arabian peninsula anapiga tu moja baada ya nyingine... Kwanza alitamani wajikusanye wote ila wanamuogopa.. i miss nuke war.. Yaani Waarabu wanashindwa ndio wanataka kuleta Somali gaidi? vichekesho kama hivi unapata JF tu
 
Kuna watu walikuwa wanakanusha kuwa Al Shabaab sio kundi la kigaidi la kiislamu.

Sasa sijui bado baada ya kuona hii wataendelea na msimamo wao au wata switch.
 
Attachments

  • Screenshot_20240612-205145_Gallery.jpg
    Screenshot_20240612-205145_Gallery.jpg
    311.4 KB · Views: 2
Netanyahu ana Mungu wa Kweli na haogopi Miungu uchwara masanamu ya arabian peninsula anapiga tu moja baada ya nyingine... Kwanza alitamani wajikusanye wote ila wanamuogopa.. i miss nuke war.. Yaani Waarabu wanashindwa ndio wanataka kuleta Somali gaidi? vichekesho kama hivi unapata JF tu
 
Attachments

  • Screenshot_20240612-205203_Gallery.jpg
    Screenshot_20240612-205203_Gallery.jpg
    415.8 KB · Views: 4
Unajaribu kufuma macho ili usione ni nani janga halisi la dunia.
Huoni kuwa ni wale wanaoua wenzao na kuvunja majumba yao.
Hao hua wanajichomoa fuse,

US,UK na washirika zao wengine walimtuhumu Sadam Hussein wa Iraq ana silaha za Sumu,wakavamia na kuua watu,ila mpaka leo hawakukuta hizo silaha za sumu Weapons of Mass Destruction,

Na hata Tony Blair alikiri kua walifanya makosa,gaidi namba moja Duniani ni hao wazungu wao,na wao ndio wanaoanzisha hivi vikundi kwa maslahi yao.
 
Kuna watu walikuwa wanakanusha kuwa Al Shabaab sio kundi la kigaidi la kiislamu.

Sasa sijui bado baada ya kuona hii wataendelea na msimamo wao au wata switch.
Al Shabaab ni kikundi cha Magaidi wa Kiislamu anayewaunga mkono nae ni Gaidi mtarajiwa.
 
Soma vizuri maelezo uloleta.
Israel kuna 1.8 million Palestinians on which majority are muslims and some christians and druze.
Hawajasema 1.8 million muslims.
 
Al Shabaab ni kikundi cha Magaidi wa Kiislamu anayewaunga mkono nae ni Gaidi mtarajiwa.
Zamani watu walitishwa na hilo jina.Baada kuelewa madhumuni yake sasa hawajali tena.
Walipotishika na hilo jina ndipo walipotoa fursa ya ardhi zao na mali zake kumegwa na wao kuwa kama wageni katika dunia.
 
Maelfu ya Waumini wa Kiisilamu Afrika wanaachana na hiyo Dini kwa sababu ya mafundisho ya Kigaidi.

Mwafrika anazidi kuamka.
 
Hali inazidi kuwa tete katika mashariki ya kati na kwa Israel kufuatia taarifa kwamba wapiganaji wa Houth wameanza mazungumzo ya kuwapatia wanamgambo wa Alshabaab silaha kama walizonazo wao ili kuongeza nguvu katika vita vya meli zinazopita bahari zilizo karibu nao zenye uhusiano na Israel na washirika wake.

US intelligence assesses Houthis in Yemen in talks to provide weapons to al-Shabaab in Somalia, officials say

Alafu Wanasema wanapigania uislam kumbe ni njaa tu
 
Unasahau Mmarekani anavyowatumia mashoga zake wa Kenya?

Au hujuwi Ruto katoka kufanya nini Marekani juzi?
Nyie akili zenu zikojje?

Kwa hiyo mmarekani akikosea ndo uhalalali wa maharamia waislamu kukosea pia

Mmarekani akifanya ujinga anakemewa
 
Shika adabu yako, hakuna Muislam haramia kama utakavyo.
 
Back
Top Bottom