Uchunguzi unaendelea kufuatia taarifa kuwa Houthi wameanza ushirikano na Al Shabaab kupambana na Israel

Mmbo ya sias ndio yanaleta makundi ya kigaidi , kipind cha migogoro ndio makundi yanaibuka pale syria yanazaliwa kila siku ..

Hao somalia wataanza kuteka meli kuendana na upepo.
 
Mmbo ya sias ndio yanaleta makundi ya kigaidi , kipind cha migogoro ndio makundi yanaibuka pale syria yanazaliwa kila siku ..

Hao somalia wataanza kuteka meli kuendana na upepo.
Ugaidi wa nchi zinazojiona miungu watu katika dunia ndio unafunza wengine kufanya kama wanavyofanyiwa.
 
Wahouthi ni Njaa Alshababu ni Njaa Mungu kawalaani Magaidi ndio maana wanashindia Kahawa chungu.

Angalia Waisraeli walivyobarikiwa hakuna Njaa.
 
Wahouthi ni Njaa Alshababu ni Njaa Mungu kawalaani Magaidi ndio maana wanashindia Kahawa chungu.

Angalia Waisraeli walivyobarikiwa hakuna Njaa.
Sasa Mungu anataka akuoneshe kuwa mwenye njaa ana nguvu ya kumshinda aliyeshiba ambaye ni dhalimu.
 
"Waueni wale wasioamini" Allah anawaamrisha waumini wake sasa huyo Allah mwenyewe kama si Gaidi ni nan?!
Acha uzushi wewe.
Hicho unachofanya kimefanywa kwa karne zote tangu kupewa utume Muhammad rehma na amani zimshukie.Lakini badala ya kuurudisha nyuma uislamu ndio unasonga mbele kila siku.
Hushangai kuona hizo nchi za wazushi kuhusu uislamu ndiko huko huko watu wanaandamana kwa nguvu kuwaunga mkono wale wanaoitwa ni magaidi na wamo kwenye orodha zao za kuwekewa vikwazo.
Utaona kuwa haki siku zote haishindwi kwa uzushi bali kwa hoja na kuacha kudhulumu.
 
Kuwatetea magaidi ya Kiislam kunahitaji kujitoa ufahamu
 
Wazushi ni Waarabu waliokopi vitabu vya Kiyahudi na Kikristu.
Kipi kilichokopiwa.
Qur'an ni kitabu cha Mungu kinachozungumzia sayansi na maajabu tele ambayo kwenye vitabu ulivyovitaja ni mkorogano mtupu uliotokana na mawazo ya watu.
 
Bila Kafiri hata hayo Mafuta wangekuwa wanayatumia kwenye Vibatari
Teknolojia zote walizonazo makafiri zimetokana na waislamu.Hawana jipya.
Mafuta ni teknolojia za kikemia ambazo gwiji lililoanza distillation na kutenganisha kemikali ni Jabir bin Hayyan na wenzake.Vitabu vyao kwa kiarabu mpaka leo viko kwenye maktaba za makafiri.
Makafiri wenzako wala hawajatoa dharau kama za kwako kwa vile wanaujua ukweli.
 
Ndio mnavyodanganyana😆😆😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…