Wahalifu huwa wanakamatwa na kufunguliwa mashtaka, sio kupigwa risasi za kichwa. Huwezi kujustify mauaji ya kimbari namna hiyo eti kwa kisingizio cha uharibifu wa mali. Hizo mali zitarudi, uhai wa mtu hauwezi kurudi.Wameonesha uhalifu wa 'waandamanaji '?
Kwahiyo na wewe nyumbu ukaamini kuna vijana wanaweza kutumwa kuchimba makaburi? Excavator hazipo au? Watu wawili tu wanatosha kuchimba na nyumbu wezi na waharibifu wa mali wakazikwa hapo.
Ila wewe ni .....!Kwahiyo na wewe nyumbu ukaamini kuna vijana wanaweza kutumwa kuchimba makaburi? Excavator hazipo au? Watu wawili tu wanatosha kuchimba na nyumbu wezi na waharibifu wa mali wakazikwa hapo.
Twendeni mbweniKwa mujibu wa ramani yangu, makaburi ya kondo yapo Mbweni - Dar es Salaam
Unafanya uhalifu kusudi ukitegemea kukamatwaWahalifu huwa wanakamatwa na kufunguliwa mashtaka, sio kupigwa risasi za kichwa. Huwezi kujustify mauaji ya kimbari namna hiyo eti kwa kisingizio cha uharibifu wa mali. Hizo mali zitarudi, uhai wa mtu hauwezi kurudi.
Kuna aina za wahalifu unaweza kuwakamata tena wengine hata kwa kusogeza siku, kwamba huyo nitamkamata kesho.Wahalifu huwa wanakamatwa na kufunguliwa mashtaka, sio kupigwa risasi za kichwa. Huwezi kujustify mauaji ya kimbari namna hiyo eti kwa kisingizio cha uharibifu wa mali. Hizo mali zitarudi, uhai wa mtu hauwezi kurudi.
tayari TBC1 walishaonyesha hukuridhika.Wameonesha uhalifu wa 'waandamanaji '?
Hilo wamekuachia weweWameonesha uhalifu wa 'waandamanaji '?
Unamuuliza nani si uka angalie CNNWameonesha uhalifu wa 'waandamanaji '?
Yaani inatia hasira kwa watu waliopotelewa na ndugu zao halafu unaposikia habari kama hiziWakuu,
Uchunguzi wa CCN umesema huenda makaburi ya halaiki yapo katika eneo la Kondo, Dar es Salaam.
Japokuwa walishindwa kuthibitisha moja kwa moja kuwa walizikwa hapo, kupitia picha za satelait, za kabla na baada ya uchaguzi inaonyesha eneo hilo lilichimbwa na vijana wanasema walipewa kazi ya kuchimba makaburi makubwa sehemu hiyo.
Pengine watu wakienda hapo wanaweza kukuta miili ya wapendwa wao ambao sasa hawajulikani walipo.
Haya Makaburi ya Kondo yapo wapi Wakuu?
View attachment 3505187
View attachment 3505196
MmmmmmmKwahiyo na wewe nyumbu ukaamini kuna vijana wanaweza kutumwa kuchimba makaburi? Excavator hazipo au? Watu wawili tu wanatosha kuchimba na nyumbu wezi na waharibifu wa mali wakazikwa hapo.