PostGE2025 Uchunguzi wa CNN wasema huenda kaburi la halaiki lipo katika Makaburi ya Kondo, Dar es Salaam

PostGE2025 Uchunguzi wa CNN wasema huenda kaburi la halaiki lipo katika Makaburi ya Kondo, Dar es Salaam

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Naona humu watu wanadanganyana tuuu kuhusu makaburi ya kondo

Watz hawajui Nchi yao
 
Mmeziba midomo media za ndani mnakuja kuvuliwa nguo na media za nje.kuwateka HAMUWEZI, kuwa piga HAMUWEZI.mnabaki tu kuwa angalia .Dunia ndogo jamani.
Akina clouds,eatv n.k wataonesha zile mnazozipenda ila wapo ambao hawatakaa kimya
 
Kwahiyo na wewe nyumbu ukaamini kuna vijana wanaweza kutumwa kuchimba makaburi? Excavator hazipo au? Watu wawili tu wanatosha kuchimba na nyumbu wezi na waharibifu wa mali wakazikwa hapo.
Lait kama ungeuliwa ndgu yako wa karibu usingelijiongelesha huo ujinga unaojiongelesha hapo. Labda nikuulze wew chawa mkomba soda, hao waliokuwa wakiuliwa majumban nao walikua wezi na vibaka, au wale polisi wastafu walioua, wale nao walikua ni vibaka?
 
CNN wanasema yule mama wa Arusha aliyevalia sweta la purple alikuwa n mjamzito wa miezi mitatu, manyonyo ameua mama na mtoto mchanga miezi mitatu tumboni.

Wakristo wenzangu em nikumbusheni kama kwenye Biblia kuna mahali shetani aliua mtoto.
 
Kwahiyo na wewe nyumbu ukaamini kuna vijana wanaweza kutumwa kuchimba makaburi? Excavator hazipo au? Watu wawili tu wanatosha kuchimba na nyumbu wezi na waharibifu wa mali wakazikwa hapo.
Wewe nyumbu kwani kuna watu waliouwawa??
Uchaguzi ulipita salama...
 
Japokuwa walishindwa kuthibitisha moja kwa moja kuwa walizikwa hapo, kupitia picha za satelait, za kabla na baada ya uchaguzi inaonyesha eneo hilo lilichimbwa na vijana wanasema walipewa kazi ya kuchimba makaburi makubwa sehemu hiyo.

Pengine watu wakienda hapo wanaweza kukuta miili ya wapendwa wao ambao sasa hawajulikani walipo.
King Kong III hapa una la kusema vizuri
 
Back
Top Bottom