Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,705
- 5,540
Nani anaekamata na kuua mtaani?hao wanaokamatwaga mtaani na kuuliwa hua huwaoni 😂
Nani anaekamata na kuua mtaani?hao wanaokamatwaga mtaani na kuuliwa hua huwaoni 😂
utajua hujui mzeeNani anaekamata na kuua mtaani?
Huna hoja mmeshikwautajua hujui mzee
tumeshikwa vp sasa?Huna hoja mmeshikwa
Ogopa Mungu na teknolojiaWakuu,
Uchunguzi wa CCN umesema huenda makaburi ya halaiki yapo katika eneo la Kondo, Dar es Salaam.
Japokuwa walishindwa kuthibitisha moja kwa moja kuwa walizikwa hapo, kupitia picha za satelait, za kabla na baada ya uchaguzi inaonyesha eneo hilo lilichimbwa na vijana wanasema walipewa kazi ya kuchimba makaburi makubwa sehemu hiyo.
Pengine watu wakienda hapo wanaweza kukuta miili ya wapendwa wao ambao sasa hawajulikani walipo.
Haya Makaburi ya Kondo yapo wapi Wakuu?
View attachment 3505187
View attachment 3505196
Mjeda haruhusiwi kuhoji, ni kufuata amri tu. Tesha alihoji sasa hivi anaishi uamishoniNiliwaza hivyoo!!
Ila hao wajeda, wao hawana utu? Moyo wa nyama? Nafsi?
Wanalinda eneo ikiwa wamefukiwa binadamu wenzao, tena pasipo hata kuzingatia utu?
Amani wanakua wanayo kabisaa? Uuuh
UnunioMakaburi ya Kondo yapo Tegeta
Hata km ndo ubinadamu wao unaisha? Au unapotea? Pindi wakila kiapo cha kuwa mjeda??Mjeda haruhusiwi kuhoji, ni kufuata amri tu. Tesha alihoji sasa hivi anaishi uamishoni
Hivi ni Mbweni, kunduchi, tegeta au ununio?Ununio
Ununio Ile, Mbweni ni mbeleHivi ni Mbweni, kunduchi, tegeta au ununio?
Mbna haielewekiii??
Aaaah ouk sawaa. Kumbe uelekeo ni huko huko.Ununio Ile, Mbweni ni mbele
Yes ukiwa unaenda Mbweni, kondo ununio inakua kushotoAaaah ouk sawaa. Kumbe uelekeo ni huko huko.
Wewe unayeifahamu vyema nchi yako, elezea unacho kifahamu kuhusu hii mada.Naona humu watu wanadanganyana tuuu kuhusu makaburi ya kondo
Watz hawajui Nchi yao
Makaburi ya Kondo yapo Tegeta
UNUNIOYapo Kunduchi
Akili yako ni kidogo sana mkuu(sorry) kwa hiyo hizo excavator zinajioparate bila watu??Kwahiyo na wewe nyumbu ukaamini kuna vijana wanaweza kutumwa kuchimba makaburi? Excavator hazipo au? Watu wawili tu wanatosha kuchimba na nyumbu wezi na waharibifu wa mali wakazikwa hapo.