PostGE2025 Uchunguzi wa CNN wasema huenda kaburi la halaiki lipo katika Makaburi ya Kondo, Dar es Salaam

PostGE2025 Uchunguzi wa CNN wasema huenda kaburi la halaiki lipo katika Makaburi ya Kondo, Dar es Salaam

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Our almighty God will punish severely this blood thirsty vampire woman
 
... uzushi mtupu!
Yaani ploti yote hiyo iachwe tupu halafu makaburi yakachimbwe pembezoni, karibu na miji ya watu ili wayaone na kusambaza ubuyu?
Larry Madomo alipata 0% kwenye psychology, yaani asiende kuripoti kwenye uwanja wa vita Kali, watammaliza mapema sana!
 
Harafu kuna kitu kingine wengi hawawezi kukijua. Haya makaburi ya halaiki bila shaka mashirika makubwa ya kijasusi kama CIA, M16 n.k washayajua kitambo sana.

Nina uhakika makaburi haya yatatumika kama karata ya kuwa-blackmail viongozi wetu ili watoe rasilimali za nchi kwa mikataba ya kitaperi
Ndo watakacho fanya.
Watawatisha kuwachukulia hatua.
Ili watoe rasilimali
 
... uzushi mtupu!
Yaani ploti yote hiyo iachwe tupu halafu makaburi yakachimbww pembezoni, karibu na miji ya watu ili wayaone na kusambaza ubuyu?
Larry Madomo alipata 0% kwenye psychology, yaani asiende kuripoti kwenye uwanja wa vita Kali, watammaliza!
Hata angepata negative, ila hamuwezi ficha mauaji mliyofanya
 
Kumbe yule wanayemuita raisi wa GEN Z wa Tanzania Habil au Abil yuko vizuri.Maana naye alisema wiki iliyopita kuwa kwa kutumia teknolojia ya kisasa amegundua makaburi ya pamoja hizo hizo.Alitaja Kondo na Mabwepande.
 
Kuna ulizi sasa hivi ukipita pale.
Nafikili wanaweza funga barabara pale
 
Makaburi ya kondo yapo Ununio, yapo mita kadhaa kutoka bahari beach hotel au kota za Ikulu za Tegeta masaiti. Nina marafiki wawili ambao tumewazika hapo.
Wengine wanasema makaburi ya kondo yapo Kunduchi
 
Screenshot from 2025-11-21 13-27-31.png

Eneo nilizungushia Box

Ndugu zangu tukipata uhuru upya na katiba mpya hili eneo la upande wa kulia wa Bagayamo road tupachunguze upya hadi kuelekea Mbweni

Sehemu hii yenye marker ndipo yalipo makaburi ya Kondo na eneo hili ambapo hakuna nyumba za watu kuna udongo mwekundu na miti ni Kiwanda cha twiga cement, humu ndani watoa taarifa wa kuaminika wamekuwa wakisema kuwa Kiwanda hichi kilitumika kupoteza ushahidi wa mauaji ya Samia.

Kuonekana kwa makaburi ya haraiki na kutwepo kwa taarifa ya watu kuchomwa sio bahati mbaya. watu wenye intel toeni kazi zingine za kiuchunguzi watu watamalizia
 
Hizo picha za satellite za CNN zinawakaanga wenyewe.

Kuna utofauti mkubwa sana wa features mbali mbali kuweza kutokea kwa kipindi cha tokea oktoba 20 mpaka November 15.

Kuna jengo hapo halikuwepo kabisa oktoba 20 na sio rahisi kutokea November 15 , unless majengo yanaota kama uyoga.
 
Hizo picha za satellite za CNN zinawakaanga wenyewe.

Kuna utofauti mkubwa sana wa features mbali mbali kuweza kutokea kwa kipindi cha tokea oktoba 20 mpaka November 15.

Kuna jengo hapo halikuwepo kabisa oktoba 20 na sio rahisi kutokea November 15 , unless majengo yanaota kama uyoga.
Ww ccm imeshakutoa ubongo umewekewa mavi kichwani
 
Back
Top Bottom