Uchunguzi wa uhalifu kuendelea mwaka mzima ni kula tu pesa za watu, utaratibu huu usitishwe

Uchunguzi wa uhalifu kuendelea mwaka mzima ni kula tu pesa za watu, utaratibu huu usitishwe

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kuna mambo ambayo mahakama/polisi inabidi mubadilike

Kuna dogo alimchoma mwenzie kisu akakaa mwaka ndani wakidai uchunguzi unaendelea.

Hay mambo yanakatisha tamaa sana mahakamani, mfano mauaji ya kijana Goba.

Huyu dada usishangae mwaka mzima aje hukumiwa huku ndugu wakidanganywa toa hiki toa kile atapunguziwa adhabu.

Haya mambo wahusika ifike wakati mbadilike. Huyu mdada katenda kosa badala yake asikae mwezi mpeni haki yake badala ya kuwatesa ndugu kesi imehairishwa njooni Septemba mara Desemba, ya nini yote hayo?

Hizi kesi zenye ushahidi zisitese watu kwenda mahakamani; mnamweka mtu ndani mwaka uchunguzi unaendelea. Tuseme imetosha

Wahusika kama hawa wenye ushahidi wa mojakwamoja toeni hukumu mapema kusaidia waliiobaki

Shetani yuko kazini tusipokuwa makini mtazika kila siku mkidai kizazi cha nyoka.

Mshahara wa dhambi ni mauti. Someni baibo wezi walevi wauwaji naa wazinzi sehemu yao ni ziwa la moto so muwe makini wazinzi maandiko yanatimia. Dada kapitiliza kabeba uzinzi kaunga na uuaji. Muoe mbadilike, acheni dhambi ovyo, sio dili mtakufa.
 
P Didy kitambo sana mkuu, kiaje?

Goba panahitaji kituo cha polisi au kule Mbezi pawepo na kituo kikubwa.

Bila hivyo itaendelea kuwa shida sana.
 
P Didy kitambo sana mkuu, kiaje?

Goba panahitaji kituo cha polisi au kule Mbezi pawepo na kituo kikubwa.

Bila hivyo itaendelea kuwa shida sana.
Goba panahitaji kituo cha polisi....mbona kipo.......wanapiga misuba balaaaaa..... 😎 😎
 
Back
Top Bottom