Uchunguzi wangu unaonesha wanaume tunaongoza kuwafanyia ukatili, kuwaumiza na kuwasaliti wanawake


Shetani ni Baba wa uongo. Shetani hajawahi kuwa Mama wala Mwanamke
Kama ilivyo kwa Mungu.
 
Mkuu nafikiri haya mambo yanahitaji uwe mzuri wa falsafa.
Acha kujificha, acha kujiwekea uzio.
Ubongo/akili ndio hutoa tafsiri, hutambua, husikia, huonja, hunusa
Tafiri hutolewa na ubongo ndio lakini macho ndio huona, au kiswahili kigumu ndgu??

Hoja iliyopo hapa ni wewe kuandika kua wasiomtaja Mungu hawana akili!!

Ukaenda mbali kwa kusema kua hawajaweza kuona kua Mungu yupo, kwahiyo kujua kua Mungu yupo ni kithibitisho kua mtu huyu ana akili, asieamini hilo basi mtu huyu hana akili sivyo??

Na je hii ni kwa mujibu wa falsafa yako, imani yako au ni akili yako tu jinsi "inavyoona" mambo kama uaminivyo??
 
Msimamo sio kitu kibaya.
Hasa msimamo katika mambo Mema.
Lakini sio mambo ya kipuuzi na akili za kijinga.
mtibeli leo hilo lishangazi lililokutoa out hakika limekwapua IQ yako!!mwanamke bila mwongozo wa mwanaume ni mpotofu alietukuka!angalia wanawake single uone how they behave,au wale jamaa zao hawana ukali na misimamo,ni wa hovyo kupindukia!
 
[emoji107]
 
Reactions: 511
Nakubali mkuu.
Hawa dada zetu ni balaa, wengi wanajilengesha tu sasa mimi kama me niliekamilika naanzaje kumkwepa.
Hapa JF pekee nimekula 78 (hit and run) kama revenge kwa nilichofanyiwa na mmoja wao way back.
Mhhh!
 
ukweli mtupu!
 
ukweli mtupu!
 
Sisi ni TRA wao ni wafanyabishara, wewe ulishawahi ona kodi inakusanywa kutoka kwa mfanyabiashara mmoja...??? Uliona wapi
 
Na wao waoe, Ili hao wanaume waliowaoa waki wa cheat wawafukuze!
 

πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Kinachoona ni ubongo hiyo mbona hiyo ipo wazi
 
mtibeli leo hilo lishangazi lililokutoa out hakika limekwapua IQ yako!!mwanamke bila mwongozo wa mwanaume ni mpotofu alietukuka!angalia wanawake single uone how they behave,au wale jamaa zao hawana ukali na misimamo,ni wa hovyo kupindukia!

πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Hapana Mimi binafsi Ninakataa Wala siungi mkono hizo harakati za haki za wanawake sijui unyanyasaji wa wanawake Kwa sababu ni siasa hamna kingine zaidi ya siasa ni kama ccm na chadema Kwa mtu ambaye
anajua nin maana ya siasa ananielewa

Ipo hivi Watu wengi au binadamu kiufupi yeyote yule bila kujalisha jinsia ni anaweza kutenda uovu na kufanya mambo ya kuhatarisha viumbe vingine Kwa ajili analotaka hii ndio reality human nature hakuna mtakatifu Wala malaika hapa wote bila kujalisha jinsia tuna makando yetu
Sasa swali kwanini kama wote sisi tunaonea na kuonewa iweje kundi Moja liamke kulaumu kundi kingine na kutafuta support na huruma public kama vile wenyewe ni kundi la malaika kama sio siasa nini hizo harakati zenu ni siasa full stop

Wote humu mnaishi mtaani mnaona hali halisi njinsi Kuna wanaume kwa wanawake ambao hufanya ukatili Kwa wapenzi wao Kwa ajili ya tamaa zao binafsi bila kujali utu labda kama wewe huelewi maana ukatili au unaishi mbinguni ambako labda Kuna wanawake wa takatifu ila kiuhalisia sisi tunaoitwa watu wote ni waovu ila kinachofanyika ni politics za blame shifting hakuna kingine Yani kila mtu anataka aonekane mtakatifu au victim Kwa kila jambo ila ukweli kazidiwa kete au maarifa ndio anaanza kutafuta huruma ambayo huruma hiyo akiipata ataitumia kumuangusha yule aliyemshida na hata kuanza kunyanyasa wengine ambao hawausiki

Ndio maana Mungu mwenyewe sometimes ajibu maombi ya hawo wanaojiita wanyonge Kwa sababu anajua ni binadamu ni walewale ni vile wamezidiwa ujanja ila wakipata nguvu hufanya Yale ambayo alikuwa akiyapinga
 

Mwanamke akipata pesa ndio anakuwa na mapenzi ya kweli kwa Mumewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…