Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Ni kweli mada zao humu ni ngumu kwelikweliANDIKO ZURI SANA.
..........ila sasa...........
Kwa wakuu wa humu ndani,
tuseme umetwanga maji kwenye Kinu ndugu mwandishi..
Kazi ya ubongo ni nini?ππ
Kinachoona ni ubongo hiyo mbona hiyo ipo wazi
Kazi ya ubongo ni nini?
Sawa.Kazi ya Ubongo ni nyingi mno.
Kutambua (kuona, kunusa, kuonja, kuhisi, kusikia) ambapo ipo milango ya hivyo vitu.
Pia kazi ya ubongo ni kuratibu shughuli zote za mwili
Sawa.