harakati za siri
JF-Expert Member
- Aug 23, 2020
- 1,074
- 2,870
tunaachiwa vumbi tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa na mgodi kule Mlimba Morogoro sijui kama bado upo hai.Hayo mambo ni kuangalia na kuacha kwa salama wa uhai wako. Sehemu x marehemu alikua na mgodi wake kabisa na ulikua ndani ya hifadhi lakini kwenye tv na redio anatupia episode za uzalendo
Basi itakua mingi sana maana ninaoujua sio huo.Alikuwa na mgodi kule Mlimba Morogoro sijui kama bado upo hai.
Huko siko mzee, unazungmzia kitunda ya kiwele ni tofaut na huko anakokuzungmzia mtoa mada, ni sehem moja hivi unapita njia ya itigi kwenda migandu/ mitundu huko kama sikoseiKuna vitu vya hovyo vinafanyika katika huo mgodi wenyewe wanaita kitunda mgodini ni mpaka kati ya Tabora na katavi
Hujui kitu wew uliza kwa wanaojua uambiwe, mgodi upo na hiyo sehem wananchi ndo walianzisha kuchimba kwa siri baada ya serikali kugundua wakatuma maaskali game kwenda kuzuia na kuwakamata wananchi tena kama hujui roho za watu wengi zimepotezwa humo porini juu ya hilo sakata la hayo machimbo [emoji119]Kuna vitu vingine ni bora kuuliza kwanza ili uelimishwe.
Kwa kukusaidia ili usiendelee kupuyanga..
1. Nenda Dodoma pale kaulize hiyo/hizo MPL za nani..hakuna uchimbaji/utafutaji wa Madini unafanyika bila kuwa na leseni.
2. Duniani kote, mara nyingi migodi huwa sehemu ambazo hazifikiki kirahisi hivyo kutokwepo kwa barabara ni kitu cha kawaida.
3. Kwenye mgodi kuwa na kiwanja cha ndege ni kitu cha kawaida, madini ni Biashara kubwa, uwekezaji wake ni mkubwa.
4. Kuhusu kutokwepo kwa njia za kuunganisha mbuga hizo, hakuna hoja hapo.
5. Fanya utafiti upya, uwe na fact za kutosha ndio uje useme kuna wizi au Madini yanachimbwa bila vibali..yawezekana hata huo mgodi haupo hapo
Sio huoKama ni mgodi wa Kitunda (madini ya dhahabu) mbona upo wazi huo tangu jk akiwa Rais,waliojaribu kuuvamia kama wachimbaji wadogo wadogo walifurushwa vibaya mno kusubiri taratibu za kiserikali
Sasa hiyo sio kitunda mkuu yeye anazumzingia mwamagembe?Huko siko mzee, unazungmzia kitunda ya kiwele ni tofaut na huko anakokuzungmzia mtoa mada, ni sehem moja hivi unapita njia ya itigi kwenda migandu/ mitundu huko kama sikosei
Huyu ni mzalendo! Anastahili kusikilizwa! Kariport TRA na uhamiajiNia yako ni nini ukishaambiwa?
Me nadhani tugawane tu maeneo kama kila mtanzania mita kumi basi akiuza atajua pa kwenda 😂😂Hivi hii nchi itaendelea kutafunwa hivi na wachache hadi lini. Jamani wananchi amkeni nchi imebaki mifupa tupu hii.
CC: Robert S Gulenga hebu aisome..(NINAHISI) Humo kuna hunting camps kama zile za Selous!
View attachment 2946842View attachment 2946843View attachment 2946844
Airstrip kwa ajili ya usafiri wa hunters ni muhimu kwa maeneo remote kama hayo! ... LAKINI, JE:
1) KUNA MANUFAA KWA UMMA?
2) HIZO HUNTING CAMPS ZIMESAJILIWA?
3) KUNA UFUATILIAJI?
4) HAKUNA SHUGHULI ZA HARAMU KAMA MIGODI-BUBU?
.
.
Sawa mkuu S A Y I lakini thibitisheni maelezo yenu, kusema tu hujui kitu haitoshi, Sheria za Tanzania zinazuia watu kuchimba Madini bila kuwa na kibali/leseni, sasa kama waliofukuzwa hawakuwa na leseni shida iko wapi? Mkuu mimi najua issue zote kuhusu PL na MPL, kwahiyo eneo hilo unalosema kama ni kweli walifukuzwa itakuwa kwa sababu hawakufuata utaratibuHujui kitu wew uliza kwa wanaojua uambiwe, mgodi upo na hiyo sehem wananchi ndo walianzisha kuchimba kwa siri baada ya serikali kugundua wakatuma maaskali game kwenda kuzuia na kuwakamata wananchi tena kama hujui roho za watu wengi zimepotezwa humo porini juu ya hilo sakata la hayo machimbo [emoji119]
Kuratibu wizi wa kura ili CCM iendelee kutawala.Sasa hao TISS kazi yao ni ipi?
Wewe mtu mzima ujue.Tatizo nini?
Huyo tatizo lake ni udini tuu wala usihangaike na kibwengo huyo ,huyo hata muislam mwenzie akimnyea mavi mdomoni atakwambia sio mavi ni urojoHivi kwanini huwa unatetea mambo mabaya? Jambo likiwa linapigiwa kelele na wengi wewe unatetea! Why