AI BRAINFULL
JF-Expert Member
- Oct 31, 2019
- 2,122
- 5,319
Yaani hapo anapambana na maadui wawili.Natamani nikukutanishe na mama yangu mkubwa yupo uko morogoro town akuambie kiundani kwani amefunga kakiwanda kakae kadogo kakutengeneza mishumaa,mikate,cake,sabuni tena apo 90% maligafi niza apa ndani kasoro mashine tu (osha,tra na kuna watu wa ofisi nyingine walikua wanataka posho) miongoni mwa mazingaumbwe aliokutana nayo ni kukuta sabuni na mishumaa yake ipo sokoni wakati yeye amefunga kiwanda miez 6 sasa
Usikute mwenzetu ni motivesheno spikaM
Mleta mada natamani kujua wewe binafsi umeanzisha nini au unafanya biashara gani? Ndo nianze kucomment.
Tupe technical know-how mkuu. Masuala ya kodi, rushwa, shida ya umeme na maji n.k tunaweza kukabiliana nayo vipiKwa jinsi comment za kupinga zilivyonyingi inaonyesha jinsi gani watu hawana exposure kabisa.
Umeme na maji ni kukabiliana navyo tuu na kufanya massive production pale vinapopatikana na maji ni kuhifadhi ya kutosha kulingana na uzalishaji wako.Tupe technical know-how mkuu. Masuala ya kodi, rushwa, shida ya umeme na maji n.k tunaweza kukabiliana nayo vipi
Vipi wazee wa kuchapisha copy za bidhaa za watu mkuu. Hawa unaweza ukapambana nao vipi. Kuna comments uko juu nimeona wanaotengeneza pombe kali wanalalamika mtaani kuna vinywaji feki vyenye stika zao.Umeme na maji ni kukabiliana navyo tuu na kufanya massive production pale vinapopatikana na maji ni kuhifadhi ya kutosha kulingana na uzalishaji wako.
Swala la kodi, rushwa na mengine yanayohusu urasimishaji kwa bongo serekali ina loophole nyingi sana hakuna system ya kukamata watu kirahisi labda uwe unatengeneza bidhaa haramu.
Na kiuhalisia huna haja ya kuikwepa serekali maana gharama zao ni ndogo sana hao tbs ni ndogo sana wao ni kuja kuchukua sample na kwenda nayo maabara malipo kidogo sana, tra cha muhimu uwe na mashine ya risiti na tunajua kuwa bidhaa nyingi tunanunua mtaani na risiti hatupewi japo wanazo.
Katika nchi rahisi kuanzia biashara na kufanikiwa ni bongo.
Nimekuwa kwenye packaging and plastic industries mda mrefu nina andika from expirience and exposure.
Sio mtu hata brender la juice hajawahi miliki anajiropokea.
Mfano wa mjasiriamali mdogo nimeuona na nimeufanya.
Kuna mtu kwa mtaji wa 12m alinunua mashine sido za kukoboa na kusaga mahindi mwaka jana yuko mlandizi sahivi anasema changamoto kubwa ni kuzidiwa na wateja na wala sio serekali, umeme wala maji.
Hapo huzungumzii viwanda vidogo vidogo tena, yani hadi ifike stage watu watengeneze vitu kwa brand yako wewe sio mmiliki wa kiwanda kidogo tena.Vipi wazee wa kuchapisha copy za bidhaa za watu mkuu. Hawa unaweza ukapambana nao vipi. Kuna comments uko juu nimeona wanaotengeneza pombe kali wanalalamika mtaani kuna vinywaji feki vyenye stika zao.
Hii nchi urasimu uliopo sio wa kawaida plus rushwa za kutosha,ukitaka kuanza kuzalisha jipange ki sawa sawa.Yule Dogo Mpambazi alikuwa ana brand sabuni ,mafuta na pafume zake champ soap sijui aliishia wapi? Ata kule X haonekani
Usirudie kufanya hivi. Kuna jamaa Kariakoo wanaagiza vifaa vya simu kama cover, protector, charger na USB cable. Wameweka majina ya Kichina au ya Kizungu kwenye bidhaa zao wanafyatua kule China wanakuja kuuza Kariakoo kwa jumla.Lakini pia ukiacha sarakasi zote za ukiritimba wa taasisi za serikali, pia kuna suala la product kukubalika sokoni. Wateja wakijua bidhaa hii unazalisha wewe kapuku mwenzao waanza kukupiga majungu na kuiona product yako haifai. Yalishanikuta kwenye sembe.
Unazalisha bidhaa gani?Hii nchi urasimu uliopo sio wa kawaida plus rushwa za kutosha,ukitaka kuanza kuzalisha jipange ki sawa sawa.
Bado hujakutana na washindani wako kibiashara.
Linganisha na mwezake Mandevu anayeuza cargo pants na jezi. Linganisha na Karage anayeuza perfumes feki za kupima. Bado wapo.Yule Dogo Mpambazi alikuwa ana brand sabuni ,mafuta na pafume zake champ soap sijui aliishia wapi? Ata kule X haonekani
Sasa mtu anazalisha maziwa unasema sio sababu kubwa umeme kukata?Hii sio sababu kubwa maana wapo vijana wengi wanazalisha wana viwanda vidogo vidogo wanategemea umeme huu huu wa Tanesco.
Kikwazo kikubwa kwenye ufunguzi wa biashara ni ukiritimba uliojaa Tanzania na Afrika kwa ujumla. Kuna mfano mzuri wa Dangote na uanzishwaji wa kiwanda cha kuchakata mafuta nchini kwake Nigeria. Kama unaanzisha kiwanda unatakiwa uwe na namna nyingine ya kumudu gharama za maisha maana misukosuko yake hadi utoboe sio midogo.