Mdogo ake the BOLD
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 559
- 1,008
Kwa mitaji hii hii ya kina Mwijaku ambao hawajulikani wanafanya biashara gani?Fikiria mfano rahisi. Badala ya kutumia mitaji yetu chupa za vifungashio, cover za simu, protector za simu au bidhaa nyingine kutoka nje, kwa nini mitaji hii isiende kwenye kuanza kuzalisha bidhaa hizo hapa? Bidhaa za teknolojia nyepesi? Bidhaa mbazo production line yake complete inaringana na mitaji yetu ya mil 10 mpk 200? Au zaidi
Upo sahihi, pia rasilimali watu ni wezi na wavivu.Watu wanaogopa bureaucracy, sera mbovu za kulinda viwanda vya ndani na gharama kubwa za uzalishaji. Mara umeme umekatika washa jenereta, mara mamlaka hii inataka hiki.
Unazalisha bidhaa kwa gharama kubwa ghafla Mchina anafanya dumping ya bidhaa zake sokoni.
Nimeipenda hii na hongera kwa hatua uliyochukua japo nina swali moja, kuna mahali umesema gari ulipokuwa unaeendesha wewe askari walikuwa hawakupigi fine kwa sababu gari halikuwa na shida na kila kitu kilikuwa sawa kuanzia sticker mpaka matairi, lakini pale alipoendesha dereva wako alikuwa anakutana na fine! Nachotaka kujifunza hapa ni kwamba kwanini dereva wako alipokuwa akiendesha alikuwa anapigwa fine ilihali gari lilikuwa sawa kwenye kila kitu kuanzia vibali mpaka sticker? Au tatizo lilikuwa kwa dereva? Kama tatizo lilikuwa kwa dereva kwanini hukumuelekeza dereva kujirekebisha na yeye ili aache kupigwa fine akiwa na gari lako?Nimesoma comments Nyingi zimesema changamoto kubwa ni Urasimu ikiwepo Rushwa. Hivi ni kweli hatuwezi pambana na Urasimu na Rushwa?
Unajua Kwa mawazo yangu Watanzania wengi tunapenda kufanya vitu kwa upungufu unaacha Loophole ya Warasimu wengine kukutumia.
Mfano wewe hujakamilika kwenye ABC akija mtu wa mamlaka fulani. Ku deal na wewe badala ya kumwambia sawa narekebisha kosa kubwa tunafanya nikuandaa mazingira ya kumuomba afunike kombe ( Rushwa).
ukishampa mtu rushwa siku ya kwanza jua haitakoma utaendelea kuwa mtumwa wake Milele atautumia udhaifu huo kukuumiza hata kama utakuwa sawa atatafuta udhaifu kukuonesha haupo sawa umpe rushwa.
Nakumbuka kipindi fulani nikimiliki Gari Ndogo za Usafirishaji wa abiria. Siku kadhaa nilikiwa natoka naingia barabarani kama dereva. Sasa kulikuwa na Mfumo wa Trafic polisi kuwa gari inajiunga na kifurushi cha Tsh 5000 kwa siku kupita barabara husika. Ukitoa hio basi unapiga trip siku nzima free bila cheti wao waliita yani faini hii haikujali unakosa ama huna. Na usipo jiunga utatafutiwa kosa uchapwe vyeti (faini).
Mimi nikasema “nikiwa nna gari hii kama dereva mimi haiwezekani” sitatoa hiko kifurushi. Siku moja nimeanza tu kazi asubuhi nikapigwa mkono alipokuja polisi akasema hatujaiona hii gari leo kwenye kifurushi, nikamwambia nikiwa na gari ndugu sitoi pesa yeyote ya Rushwa kwakuwa gari ina vibali vyote. kagua gari nipige faini kulingana na kosa langu. Akaomba leseni, akakagua stika zote zipo sawa, akaangalia matairi nk nk akasema nenda. Kumbe kaweka kinyongo Moyoni.
Ikawa Nikiwa nayo mimi ile gari wanaipotezea siku dereva akiishika wanasema hatutaki kifurushi chako boss wako anakiburi wanamchapa faini za kutosha
Kufupisha maelezo siku moja niliondoka na dereva na faini waoizompiga mpaka kituo cha polisi nikawaeleza nimechoka na nnajua hili suala ni kwasababu ABC nikamwambia Mkuu wa kituo usipolitatua leo liishe kesho napanda ngazi za juu zaidi. Akanitishia kuniweka ndani kuww nafanya fujo pale. nikamwambia unachelewa ungeshaniweka hata sasa( akatishika kidogo). Daima kuna watu wazuri maishani mama mmoja polisi mtu mzima akatafuta namna akaniambia kazia hapohapo. Nikakaza sana Nilichanel lile suala mpaka ngazi za juu kiasi hatimae barabara ile vifurushi vikafa tukaishi huru.
Je ni kweli bila kusimamia haki zetu na msingi ya kweli iwe kikwazo cha kujijenga? Kwa imani yangu be bold simamia ukweli na uwe mkweli hakika warasimu watakupa Njia upite na utakuwa umeshinda dunia inataka uwe FIT to Survive dont give excuses
Sio kukosa exposure. Uzalishaji sio rahisi kama ilivyo rahisi kuwaponda wachuuzi.Kwa jinsi comment za kupinga zilivyonyingi inaonyesha jinsi gani watu hawana exposure kabisa.
Yeye alikataa kutoa hiyo rushwa,dereva wake hakuwa na ubavu wa kukataa.Nimeipenda hii na hongera kwa hatua uliyochukua japo nina swali moja, kuna mahali umesema gari ulipokuwa unaeendesha wewe askari walikuwa hawakupigi fine kwa sababu gari halikuwa na shida na kila kitu kilikuwa sawa kuanzia sticker mpaka matairi, lakini pale alipoendesha dereva wako alikuwa anakutana na fine! Nachotaka kujifunza hapa ni kwamba kwanini dereva wako alipokuwa akiendesha alikuwa anapigwa fine ilihali gari lilikuwa sawa kwenye kila kitu kuanzia vibali mpaka sticker? Au tatizo lilikuwa kwa dereva? Kama tatizo lilikuwa kwa dereva kwanini hukumuelekeza dereva kujirekebisha na yeye ili aache kupigwa fine akiwa na gari lako?
Last para nimeielewa.Sio sababu kubwa ya kufanya watu wasifungue viwanda vidogo vidogo wakati Africa nzima swala la umeme ni janga, niko kwenye sekta ya vinywaji, na umeme na maji vinasumbua lakini sio sababu kubwa kuacha wakati kuna soko kubwa sana mtaani na wengi tuu hawaangalii brand bali nguvu yako ya kupeleka bidhaa sokoni.
Ukiachana na theory ukaingia kazini utakubaliana na mimi hizi changamoto zipo ukiwa na mtaji wa 50m huna haja ya kuangaika na uchuuzi labda uwe huna exposure na sasa majenereta yapo hadi ya lipa mdogo mdogo.
Hapana...japo mshkaji wangu yeye ameanza hiyo kitu mwaka huu na anapiga biashara vizuri sana.Bila shaka ni unga wa sembe
Anapigia wap sembe mkuuHapana...japo mshkaji wangu yeye ameanza hiyo kitu mwaka huu na anapiga biashara vizuri sana.
Yupo pande za Mafinga mbele kidogo kabla hujafika mahala panaitwa NyololoAnapigia wap sembe mkuu
Changarawe?Yupo pande za Mafinga mbele kidogo kabla hujafika mahala panaitwa Nyololo
Mkuu kuna kitu nataka unisaidie kama unakijua, nimewahi kupita maeneo ya kati ya iringa na makambako, katikati kuna kijiji pembeni ya barabara wamepanga vyungu na mitungi ya udongo. Nina shida sana na vile vyungu ila sijui kile kijiji kinaitwaje.Yupo pande za Mafinga mbele kidogo kabla hujafika mahala panaitwa Nyololo
Yeahh maeneo hiZo aroundChangarawe?
Saf sana mpaka kielewekeYupo pande za Mafinga mbele kidogo kabla hujafika mahala panaitwa Nyololo
Sembe Dar uliacha???Mkuu kuna kitu nataka unisaidie kama unakijua, nimewahi kupita maeneo ya kati ya iringa na makambako, katikati kuna kijiji pembeni ya barabara wamepanga vyungu na mitungi ya udongo. Nina shida sana na vile vyungu ila sijui kile kijiji kinaitwaje.
Sembe inatoka sana wadau?Sembe Dar uliacha???