Liver defence itawaghatimu sana.Naiona fainali rahisi saaana kwa Real Madrid.
Kutokana na mapungufu makubwa katika safu ya ulinzi ya liverpool
Japo mpira ni dakika 90.
Pia anaweza mkuta sergio ramos na casemero wamejipata mafuta ya kiti moto! Huwezi jua.Yule mwarabu atawaua tuuu!!....Siku hiyo anaamka na alah!!
Mbele ya Allah hakuna cha kitimoto wala mafuta yake,labda angekuwa anaabudu mashetani!Pia anaweza mkuta sergio ramos na casemero wamejipata mafuta ya kiti moto! Huwezi jua.
Naiona fainali ya mteremko kwa Real, liver ina mapungufu makubwa sana kwenye defense.Viva REAL MADRID, we are the Kings again
Mapungufu ya Real Madrid hujayaona?Naiona fainali rahisi saaana kwa Real Madrid.
Kutokana na mapungufu makubwa katika safu ya ulinzi ya liverpool
Japo mpira ni dakika 90.
Leo mbona 'kiti moto' imefanya kazi?? Kwa Manu, ashley alijipata na ikafanya kazi mbele ya "allah!Mbele ya Allah hakuna cha kitimoto wala mafuta yake,labda angekuwa anaabudu mashetani!
ulivo kilaza unasahau na mapungufu ya madridNaiona fainali rahisi saaana kwa Real Madrid.
Kutokana na mapungufu makubwa katika safu ya ulinzi ya liverpool
Japo mpira ni dakika 90.
Leo kapumzika kufunga ili fainali afunge magoli mengi!...don't play with laws of nature!!Leo mbona 'kiti moto' imefanya kazi?? Kwa Manu, ashley alijipata na ikafanya kazi mbele ya "allah!
Unatakiwa ujue, Allah wake ndio Allah wa Benzema pia.
Acha Milan ya akina kaka,Seedorf,Gatuso,Maldin na Wahenga wengine pale Aturtuk Uturuki waliona maluweluwe,na wachezaji wa Liver walikuwa wa kawaida sana,iweje Leo kuna world class players? Tusubiri na kuona ila Liverpool anaenda kuiteka Dunia tarehe 26.ulivo kilaza unasahau na mapungufu ya madrid
Kama CR7 alivyopumzika kufunga nusu fainali, kwa ajili ya fainali.Leo kapumzika kufunga ili fainali afunge mengi!...don't play with laws of nature!!