sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
Liverpool FC sasa itakwaana na Real Madrid katika mchezo wa Fainali unaotarajiwa kupigwa katika dimba la Olympic National Sports Complex huko Jijini Kiev nchini Ukraine
Mchezo huo utapigwa tarehe 26 mwezi huu
======
Naiona fainali rahisi saaana kwa Real Madrid.
Kutokana na mapungufu makubwa katika safu ya ulinzi ya liverpool
Japo mpira ni dakika 90.
==========
Nilisema itakuwa fainali nyepesi saana. Pamoja ya kuumia mapema kwa Mo Salah.
Hongera saana Real Madrid