Na wao pia wana Mungu wa Ibrahim,Isaka na Yakubu!Mbele ya Allah hakuna cha kitimoto wala mafuta yake,labda angekuwa anaabudu mashetani!
[emoji23][emoji23][emoji23]!....wee jamaa ni noma!Kama CR7 alivyopumzika kufunga nusu fainali, kwa ajili ya fainali.
mwarabu atafunga moja...Madrid watafunga tanoYule mwarabu atawaua tuuu!!....Siku hiyo anaamka na allah!!....Leo amenichekesha sana kwani kuna saa liverpool walikuwa wanazuga ili muda uende ila mwarabu akawa anapinga hilo swala yeye anataka mpira upigwe mbele ili akafunge!!
Mkuu kabla ya mechi kuanza wachezaji wote wa Madrid huwa wanaenda kunusishwa medali za dhahabu. Kisha wanaulizwa mmezisikia.? Then wanaenda uwanjani. Habari yake utaniambia tar 26. Liver wanaenda tu kukamilisha ratiba. Madrid ananyanyua kwapa.Mkuu usisahau mpira hudunda. Mwezi July 2017 wapenzi na mashabiki wengi wa soka duniani ungewaambia Liverpool watacheza na Madrid kwenye UEFA Finals asilimia kubwa wangekataa.
Kwenye paper Liverpool hawawezi kushinda kwenye mechi hiyo lakini wanaweza kuja na ari kubwa sana na kosa moja tu la Madrid likawapa bwawa la maini ubingwa. Tusubiri May 26 tuone Mkuu.
Benzema usimchulie poa kabisa. Hata kama hafungi ila mchango mkubwa sana. Ananyumbulika sana.Mapungufu ya madrid yapo katika eneo gani?? Kwangu upungufu upo kwa striker tuu. Benzema sio wakuaminika.
Goli mbili za penati ambazo refa mwingine hatoi. Goli moja milner kawapa wala haikuwa move ya maana so ni kama goli 3 hiviMwarabu leo kapoteaa. Liva defense yake hamna kitu. Refa kawabeba. Yule dogo namba 66 alikuwa anachomesha wenzake tuu
Ronaldo alikuwa wapi mechi za bayern?Mwarabu leo kapoteaa. Liva defense yake hamna kitu. Refa kawabeba. Yule dogo namba 66 alikuwa anachomesha wenzake tuu
Utashangaa...Liverpool si ya kubeza. Real wana matatizo pia sehemu zote. Watu walishindwa kuona kuwa kuwemo kwa Salaah kuliwapa nafasi wenzake Kufunga. Walinzi wa Roma waliwekeza nguvu na akili zao kwake wakiwapa fursa wafungaji wengine!Naiona fainali ya mteremko kwa Real, liver ina mapungufu makubwa sana kwenye defense.
Tarehe 26.05.2018 ni ile siku waingeteza watasingizia THE BEST TEAM LOST!
Mkuu utaficha sura yako siku ikifika.Hainiumi, ila napenda mfungwe sababu mnaongea sana, sio nyie tu bali hata waingereza na wana habari wao, hamuwapi timu zingine heshima zinazostahili, hivyo nataka timu ziwadhihirishie kuwa wako vizuri zaidi yenu. Na sasa mmefika tamati, Real anawaua!!
Pia mmekuwa na wivu ulioputiliza Real kuingia fainali raundi ya tatu mfululizo na kwenda kuchukua ndoo raundi ya tatu mfululizo. Hii imewapa chuki moja mbaya sana.