Sawa mkuu. Hebu akajaribu kusoma kwa mazoezI (Apige tease kidogo just for pleasure) kwa kuanza na kusoma walau kama hadithi fulani hv Human Anatomy halafu afanye maamuzi kama ataendelea kujaribu pia na kaPhysiology kidogo n.k. Ukizingatia A-level hakugusa kabisa Biology, Chemistry wala Physics na Mathematics. Mbona itakuwa ni shughuli pevu kwake aisee? Waliosoma hayo masomo; wenyewe wanalalamika sembuse huyo aliyeyaacha zamani hizo za O-level.Na hiki ndio kikwazo, maana wemgi husoma kwa ajili ya ajira. Lakini kama unasoma for private practise wala huna haja ya kuhofu kuhusu umri
Thread ya kipumbavu zaidi kuwahi kuiona hapa JF.Yani sasa hivi kutokana na haya mapinduzi ya teknolojia imefanya kazi ya udaktari ionekane ni rahisi sana
Daktari wa sasa kila kitu wanaletewa yani vipimo vyote vinapimwa na vinatoa majibu vyenyewe kwa mfano CT scan, X - ray, Ultra sound na vingine vingi
Daktari wa sasa sio watu wa kuumiza vichwa sana na ndomana muda mwingi hawatulii makazini kwakuwa kila kitu ni simple and clear, uwezo, utambuzi na ubunifu wa vitu mbalimbali katika afya umekuwa mdogo sana mbali na uwepo wa hii teknolojia
Daktari wa sasa mbali na kusaidiwa vitu vingi na teknolojia ila bado wamekuwa wazembe katika kutoa majibu sahihi na katika wakati sahihi, ukitaka kuamini hili nenda katika haya mahospitali utafahamu
Daktari wa sasa wamekuwa watu wa maelezo mengi yasiyohusiana na matokeo husika ya vipimo, mfano hapa karibuni kuna moja ya hospital nilifika na mgojwa wangu ambaye aliingizwa kwenye vipimo vikubwa mpaka ile CT scan lakini bado madaktari wa sasa walishindwa kutoa majibu yanayoeleweka huku mgongwa akiwa bado anateseka na ugonjwa wake
Niseme tu hata Mimi na Degree yangu ya ualimu wa masomo ya kingereza na kiswahili, naweza kwenda kusoma udaktari wa sasa na nikahitimu vizuri yani nianze huo mwaka wa kwanza mpaka wa 5 au 7 nikitoka hapo nitakuwa daktari mzuri bila kujali Combination yangu ya HKL advance, I promise you guys naweza kuwa doctor kama huamini nilipie ada uone
🙌🙌🙌Niseme tu hata Mimi na Degree yangu ya ualimu wa masomo ya kingereza na kiswahili, naweza kwenda kusoma udaktari wa sasa na nikahitimu vizuri yani nianze huo mwaka wa kwanza mpaka wa 5 au 7 nikitoka hapo nitakuwa daktari mzuri bila kujali Combination yangu ya HKL advance, I promise you guys naweza kuwa doctor kama huamini nilipie ada uone
Enhee tuambie walikuambia majibu gan ambayo hukuyaelewaYani sasa hivi kutokana na haya mapinduzi ya teknolojia imefanya kazi ya udaktari ionekane ni rahisi sana
Daktari wa sasa kila kitu wanaletewa yani vipimo vyote vinapimwa na vinatoa majibu vyenyewe kwa mfano CT scan, X - ray, Ultra sound na vingine vingi
Daktari wa sasa sio watu wa kuumiza vichwa sana na ndomana muda mwingi hawatulii makazini kwakuwa kila kitu ni simple and clear, uwezo, utambuzi na ubunifu wa vitu mbalimbali katika afya umekuwa mdogo sana mbali na uwepo wa hii teknolojia
Daktari wa sasa mbali na kusaidiwa vitu vingi na teknolojia ila bado wamekuwa wazembe katika kutoa majibu sahihi na katika wakati sahihi, ukitaka kuamini hili nenda katika haya mahospitali utafahamu
Daktari wa sasa wamekuwa watu wa maelezo mengi yasiyohusiana na matokeo husika ya vipimo, mfano hapa karibuni kuna moja ya hospital nilifika na mgojwa wangu ambaye aliingizwa kwenye vipimo vikubwa mpaka ile CT scan lakini bado madaktari wa sasa walishindwa kutoa majibu yanayoeleweka huku mgongwa akiwa bado anateseka na ugonjwa wake
Niseme tu hata Mimi na Degree yangu ya ualimu wa masomo ya kingereza na kiswahili, naweza kwenda kusoma udaktari wa sasa na nikahitimu vizuri yani nianze huo mwaka wa kwanza mpaka wa 5 au 7 nikitoka hapo nitakuwa daktari mzuri bila kujali Combination yangu ya HKL advance, I promise you guys naweza kuwa doctor kama huamini nilipie ada uone
Sasa hivi Madaktari wanazidi kuuvuruga udaktari ili uonekane mgumu, katika harakati hizo wanaishia kupondeana sana. Wanachotakiwa kufanya ni kukubaliana na matokeo kwa kuanzia pale teknolojia inapoishiaYani sasa hivi kutokana na haya mapinduzi ya teknolojia imefanya kazi ya udaktari ionekane ni rahisi sana
Daktari wa sasa kila kitu wanaletewa yani vipimo vyote vinapimwa na vinatoa majibu vyenyewe kwa mfano CT scan, X - ray, Ultra sound na vingine vingi
Daktari wa sasa sio watu wa kuumiza vichwa sana na ndomana muda mwingi hawatulii makazini kwakuwa kila kitu ni simple and clear, uwezo, utambuzi na ubunifu wa vitu mbalimbali katika afya umekuwa mdogo sana mbali na uwepo wa hii teknolojia
Daktari wa sasa mbali na kusaidiwa vitu vingi na teknolojia ila bado wamekuwa wazembe katika kutoa majibu sahihi na katika wakati sahihi, ukitaka kuamini hili nenda katika haya mahospitali utafahamu
Daktari wa sasa wamekuwa watu wa maelezo mengi yasiyohusiana na matokeo husika ya vipimo, mfano hapa karibuni kuna moja ya hospital nilifika na mgojwa wangu ambaye aliingizwa kwenye vipimo vikubwa mpaka ile CT scan lakini bado madaktari wa sasa walishindwa kutoa majibu yanayoeleweka huku mgongwa akiwa bado anateseka na ugonjwa wake
Niseme tu hata Mimi na Degree yangu ya ualimu wa masomo ya kingereza na kiswahili, naweza kwenda kusoma udaktari wa sasa na nikahitimu vizuri yani nianze huo mwaka wa kwanza mpaka wa 5 au 7 nikitoka hapo nitakuwa daktari mzuri bila kujali Combination yangu ya HKL advance, I promise you guys naweza kuwa doctor kama huamini nilipie ada uone
Ww jamaa unajua kusoma hiyo image ya CT scan ni course na sio kila mtu anaweza akasoma yaani ulishindwa trigonometry na simultaneous uweze pharmacology na microbiology aliyekuroga hakunawa mikonoNilipie ada nikuoneshe
Nakazia AI imeleta mapinduzi makubwa kwenye secta zote sio udaktari tuu kote hata kwenye kompyuta yenyewe hii teknolojia imefanya na kurahisisha sana matumizi ya app za kompyuta kwenye matibabu AI Imeleta telemedicine, robotics surgery,bot medical assistant n.k, nimeshuhudia hii kwa kuona madaktari wanavyotumia mifumo ya hospital (hospital management system) kwenye mfumo huu doctor anaingiza dalili za mgonjwa mfano,kuumwa,Kichwa kutoka jasho, mafua n.k na baadae mfumo unapendekeza ugonjwa na dawa.....niishie hapoYani sasa hivi kutokana na haya mapinduzi ya teknolojia imefanya kazi ya udaktari ionekane ni rahisi sana
Daktari wa sasa kila kitu wanaletewa yani vipimo vyote vinapimwa na vinatoa majibu vyenyewe kwa mfano CT scan, X - ray, Ultra sound na vingine vingi
Daktari wa sasa sio watu wa kuumiza vichwa sana na ndomana muda mwingi hawatulii makazini kwakuwa kila kitu ni simple and clear, uwezo, utambuzi na ubunifu wa vitu mbalimbali katika afya umekuwa mdogo sana mbali na uwepo wa hii teknolojia
Daktari wa sasa mbali na kusaidiwa vitu vingi na teknolojia ila bado wamekuwa wazembe katika kutoa majibu sahihi na katika wakati sahihi, ukitaka kuamini hili nenda katika haya mahospitali utafahamu
Daktari wa sasa wamekuwa watu wa maelezo mengi yasiyohusiana na matokeo husika ya vipimo, mfano hapa karibuni kuna moja ya hospital nilifika na mgojwa wangu ambaye aliingizwa kwenye vipimo vikubwa mpaka ile CT scan lakini bado madaktari wa sasa walishindwa kutoa majibu yanayoeleweka huku mgongwa akiwa bado anateseka na ugonjwa wake
Niseme tu hata Mimi na Degree yangu ya ualimu wa masomo ya kingereza na kiswahili, naweza kwenda kusoma udaktari wa sasa na nikahitimu vizuri yani nianze huo mwaka wa kwanza mpaka wa 5 au 7 nikitoka hapo nitakuwa daktari mzuri bila kujali Combination yangu ya HKL advance, I promise you guys naweza kuwa doctor kama huamini nilipie ada uone
Ishu sio kutoka bila kudiaco, na siku hizi anaedisco yule asiyesoma hata kidogo. Walimu wenyewe ni vijana tu ambao mnakutana Bar , una disco vipi?Acha ujinga kudharau taaluma za wenzako
Miaka 5 kukaa chuo unadhani mchezo bila disco wala repeat tena Sayansi
Umemaliza mjadala.Kusoma PCB,,,advance sio ngoma ndogo.Acha ujinga kudharau taaluma za wenzako
Miaka 5 kukaa chuo unadhani mchezo bila disco wala repeat tena Sayansi
kumbe degree ya HKL it means ulikimbia Phys,chemstry kwa hy huna vigezo ila ulipofikia sio pazuri yaan unakosoa kazi za watu😡😡😡Nilipie ada nikuoneshe
Anachukulia simple simple tuSawa mkuu. Hebu akajaribu kusoma kwa mazoezI (Apige tease kidogo just for pleasure) kwa kuanza na kusoma walau kama hadithi fulani hv Human Anatomy halafu afanye maamuzi kama ataendelea kujaribu pia na kaPhysiology kidogo n.k. Ukizingatia A-level hakugusa kabisa Biology, Chemistry wala Physics na Mathematics. Mbona itakuwa ni shughuli pevu kwake aisee? Waliosoma hayo masomo; wenyewe wanalalamika sembuse huyo aliyeyaacha zamani hizo za O-level.
Mumewasema walimu weeee! Mmewadharau weeeee sasa mmehamia kwa madktari tena, nipo hapa nasubiri itakapo fika zamu ya JWTZ.Yani sasa hivi kutokana na haya mapinduzi ya teknolojia imefanya kazi ya udaktari ionekane ni rahisi sana