Udaktari umekuwa kazi nyepesi sasa hivi

Udaktari umekuwa kazi nyepesi sasa hivi

Na hiki ndio kikwazo, maana wemgi husoma kwa ajili ya ajira. Lakini kama unasoma for private practise wala huna haja ya kuhofu kuhusu umri
Sawa mkuu. Hebu akajaribu kusoma kwa mazoezI (Apige tease kidogo just for pleasure) kwa kuanza na kusoma walau kama hadithi fulani hv Human Anatomy halafu afanye maamuzi kama ataendelea kujaribu pia na kaPhysiology kidogo n.k. Ukizingatia A-level hakugusa kabisa Biology, Chemistry wala Physics na Mathematics. Mbona itakuwa ni shughuli pevu kwake aisee? Waliosoma hayo masomo; wenyewe wanalalamika sembuse huyo aliyeyaacha zamani hizo za O-level.
 
Yani sasa hivi kutokana na haya mapinduzi ya teknolojia imefanya kazi ya udaktari ionekane ni rahisi sana

Daktari wa sasa kila kitu wanaletewa yani vipimo vyote vinapimwa na vinatoa majibu vyenyewe kwa mfano CT scan, X - ray, Ultra sound na vingine vingi

Daktari wa sasa sio watu wa kuumiza vichwa sana na ndomana muda mwingi hawatulii makazini kwakuwa kila kitu ni simple and clear, uwezo, utambuzi na ubunifu wa vitu mbalimbali katika afya umekuwa mdogo sana mbali na uwepo wa hii teknolojia

Daktari wa sasa mbali na kusaidiwa vitu vingi na teknolojia ila bado wamekuwa wazembe katika kutoa majibu sahihi na katika wakati sahihi, ukitaka kuamini hili nenda katika haya mahospitali utafahamu

Daktari wa sasa wamekuwa watu wa maelezo mengi yasiyohusiana na matokeo husika ya vipimo, mfano hapa karibuni kuna moja ya hospital nilifika na mgojwa wangu ambaye aliingizwa kwenye vipimo vikubwa mpaka ile CT scan lakini bado madaktari wa sasa walishindwa kutoa majibu yanayoeleweka huku mgongwa akiwa bado anateseka na ugonjwa wake

Niseme tu hata Mimi na Degree yangu ya ualimu wa masomo ya kingereza na kiswahili, naweza kwenda kusoma udaktari wa sasa na nikahitimu vizuri yani nianze huo mwaka wa kwanza mpaka wa 5 au 7 nikitoka hapo nitakuwa daktari mzuri bila kujali Combination yangu ya HKL advance, I promise you guys naweza kuwa doctor kama huamini nilipie ada uone
Thread ya kipumbavu zaidi kuwahi kuiona hapa JF.
 
Ukifanikiwa kutoka nje ya Tanzania. Ukaenda hospital za wenzetu majuu..

Ama hata india tu ukafika hospital zao kama Apollo utajua bongo bado sana kutibu magonjwa makubwa.

Sisi madaktari wetu wanachokosa ni experience na elimu ya kukaririshwa na vyuo vya bongo.

Mashine nyingi za kisasa za vipimo zipo bongo ila wasomaji ni kama wanabahatisha kuvisoma hivyo vipimo.

Maana vinaleta picha tu za ndani ya mwili wa binadamu. Msomaji lazima awe na akili na uzoefu wa kuelewa vinavyoonekana kwenye hizo picha
 
Na hii ndio tofauti ya Mtu mweusi na Mtu mweupe. Wakati wao wanaumiza vichwa kuyafanya maisha yazidi kuwa mepesi. Mtu mweusi anaamini ugumu ndio kipimo cha akili.

It's all about mentality. What you think is what you become.
 
Mwanzisha mada upo sahihi.
Kuna dr mmoja akiwa huko room anapiga simu za miradi yake balaa!
Yaani anamsikiliza magonjwa huku anamsikiliza fundi, be. mifugo, muuza duka, dereva bajaji, .....mpaka anaacha simu hewani ili jumps tu mgojwa maelezo, ambayo ameyafupisha balaa.
Kuna mwingine alikuwa na material anasoma; anajiendeleza; hata kumsikiliza mgonjwa anaona kama kero.
Acha mbali wasuka mikeka; huko ndio kuna balaa na nusu
 
Niseme tu hata Mimi na Degree yangu ya ualimu wa masomo ya kingereza na kiswahili, naweza kwenda kusoma udaktari wa sasa na nikahitimu vizuri yani nianze huo mwaka wa kwanza mpaka wa 5 au 7 nikitoka hapo nitakuwa daktari mzuri bila kujali Combination yangu ya HKL advance, I promise you guys naweza kuwa doctor kama huamini nilipie ada uone
🙌🙌🙌

Screenshot_20240623_223505.jpg
Screenshot_20240623_223522.jpg
Screenshot_20240623_223641.jpg
Screenshot_20240623_223755.jpg
Screenshot_20240623_223833.jpg
Screenshot_20240623_223848.jpg
Screenshot_20240623_223901.jpg
Screenshot_20240623_223917.jpg
Screenshot_20240623_223950.jpg
 
Yani sasa hivi kutokana na haya mapinduzi ya teknolojia imefanya kazi ya udaktari ionekane ni rahisi sana

Daktari wa sasa kila kitu wanaletewa yani vipimo vyote vinapimwa na vinatoa majibu vyenyewe kwa mfano CT scan, X - ray, Ultra sound na vingine vingi

Daktari wa sasa sio watu wa kuumiza vichwa sana na ndomana muda mwingi hawatulii makazini kwakuwa kila kitu ni simple and clear, uwezo, utambuzi na ubunifu wa vitu mbalimbali katika afya umekuwa mdogo sana mbali na uwepo wa hii teknolojia

Daktari wa sasa mbali na kusaidiwa vitu vingi na teknolojia ila bado wamekuwa wazembe katika kutoa majibu sahihi na katika wakati sahihi, ukitaka kuamini hili nenda katika haya mahospitali utafahamu

Daktari wa sasa wamekuwa watu wa maelezo mengi yasiyohusiana na matokeo husika ya vipimo, mfano hapa karibuni kuna moja ya hospital nilifika na mgojwa wangu ambaye aliingizwa kwenye vipimo vikubwa mpaka ile CT scan lakini bado madaktari wa sasa walishindwa kutoa majibu yanayoeleweka huku mgongwa akiwa bado anateseka na ugonjwa wake

Niseme tu hata Mimi na Degree yangu ya ualimu wa masomo ya kingereza na kiswahili, naweza kwenda kusoma udaktari wa sasa na nikahitimu vizuri yani nianze huo mwaka wa kwanza mpaka wa 5 au 7 nikitoka hapo nitakuwa daktari mzuri bila kujali Combination yangu ya HKL advance, I promise you guys naweza kuwa doctor kama huamini nilipie ada uone
Enhee tuambie walikuambia majibu gan ambayo hukuyaelewa
 
Sasa hivi Madaktari wanazidi kuuvuruga udaktari ili uonekane mgumu, katika harakati hizo wanaishia kupondeana sana. Wanachotakiwa kufanya ni kukubaliana na matokeo kwa kuanzia pale teknolojia inapoishia
 
Yani sasa hivi kutokana na haya mapinduzi ya teknolojia imefanya kazi ya udaktari ionekane ni rahisi sana

Daktari wa sasa kila kitu wanaletewa yani vipimo vyote vinapimwa na vinatoa majibu vyenyewe kwa mfano CT scan, X - ray, Ultra sound na vingine vingi

Daktari wa sasa sio watu wa kuumiza vichwa sana na ndomana muda mwingi hawatulii makazini kwakuwa kila kitu ni simple and clear, uwezo, utambuzi na ubunifu wa vitu mbalimbali katika afya umekuwa mdogo sana mbali na uwepo wa hii teknolojia

Daktari wa sasa mbali na kusaidiwa vitu vingi na teknolojia ila bado wamekuwa wazembe katika kutoa majibu sahihi na katika wakati sahihi, ukitaka kuamini hili nenda katika haya mahospitali utafahamu

Daktari wa sasa wamekuwa watu wa maelezo mengi yasiyohusiana na matokeo husika ya vipimo, mfano hapa karibuni kuna moja ya hospital nilifika na mgojwa wangu ambaye aliingizwa kwenye vipimo vikubwa mpaka ile CT scan lakini bado madaktari wa sasa walishindwa kutoa majibu yanayoeleweka huku mgongwa akiwa bado anateseka na ugonjwa wake

Niseme tu hata Mimi na Degree yangu ya ualimu wa masomo ya kingereza na kiswahili, naweza kwenda kusoma udaktari wa sasa na nikahitimu vizuri yani nianze huo mwaka wa kwanza mpaka wa 5 au 7 nikitoka hapo nitakuwa daktari mzuri bila kujali Combination yangu ya HKL advance, I promise you guys naweza kuwa doctor kama huamini nilipie ada uone
Nakazia AI imeleta mapinduzi makubwa kwenye secta zote sio udaktari tuu kote hata kwenye kompyuta yenyewe hii teknolojia imefanya na kurahisisha sana matumizi ya app za kompyuta kwenye matibabu AI Imeleta telemedicine, robotics surgery,bot medical assistant n.k, nimeshuhudia hii kwa kuona madaktari wanavyotumia mifumo ya hospital (hospital management system) kwenye mfumo huu doctor anaingiza dalili za mgonjwa mfano,kuumwa,Kichwa kutoka jasho, mafua n.k na baadae mfumo unapendekeza ugonjwa na dawa.....niishie hapo
 
Acha ujinga kudharau taaluma za wenzako

Miaka 5 kukaa chuo unadhani mchezo bila disco wala repeat tena Sayansi
Ishu sio kutoka bila kudiaco, na siku hizi anaedisco yule asiyesoma hata kidogo. Walimu wenyewe ni vijana tu ambao mnakutana Bar , una disco vipi?
Ishu ni IMPACT, wanapotoka shuleni hawana impact kwenye Jami, with AI maisha yamekuwa rahisi sana ,

Kwangu udaktari ni Surgery ambaee anauwezo wa ku open a human body na kuufunga and let the patient live ( inawezekana hili eneo nina conflict of interest but huo ndio ukweli )

Hawa wengine wakukaa kwenye viti na kuandika prescription mostly general physician, I cannot differentiate them from Nurses or Pharmacist . Both they can do the same thing with the treatment symptomatic . Most of them wannatumia AI kupata majibu

Anyone can do that , just to know the right searching and key words

Prescribing patterns za General Physician wa siku hizi huwa zinachekesha sana ; ubaona kabisa huyu kagoogle or with AI, ile critical analyzing haipo.

Sasa akikutana na watoto wa dotcom wanaojua sana matumizi ya AI na interconnectedness , huwa wanapata upinzani maana hao dotcom wanaenda na majibu yao , unapo search na yeye ana search hapo hapo
 
Hakuna kitu sikipendi kama Daktari kuniambia tu nenda kachukue hizi dawa!
Kasoma majibu ya maabara alafu anaandika tu dawa bila kukwambia unachoumwa!
Ukimuuliza anajibu "Niitie flani"
 
Sawa mkuu. Hebu akajaribu kusoma kwa mazoezI (Apige tease kidogo just for pleasure) kwa kuanza na kusoma walau kama hadithi fulani hv Human Anatomy halafu afanye maamuzi kama ataendelea kujaribu pia na kaPhysiology kidogo n.k. Ukizingatia A-level hakugusa kabisa Biology, Chemistry wala Physics na Mathematics. Mbona itakuwa ni shughuli pevu kwake aisee? Waliosoma hayo masomo; wenyewe wanalalamika sembuse huyo aliyeyaacha zamani hizo za O-level.
Anachukulia simple simple tu
 
Yani sasa hivi kutokana na haya mapinduzi ya teknolojia imefanya kazi ya udaktari ionekane ni rahisi sana

Daktari wa sasa kila kitu wanaletewa yani vipimo vyote vinapimwa na vinatoa majibu vyenyewe kwa mfano CT scan, X - ray, Ultra sound na vingine vingi

Daktari wa sasa sio watu wa kuumiza vichwa sana na ndomana muda mwingi hawatulii makazini kwakuwa kila kitu ni simple and clear, uwezo, utambuzi na ubunifu wa vitu mbalimbali katika afya umekuwa mdogo sana mbali na uwepo wa hii teknolojia

Daktari wa sasa mbali na kusaidiwa vitu vingi na teknolojia ila bado wamekuwa wazembe katika kutoa majibu sahihi na katika wakati sahihi, ukitaka kuamini hili nenda katika haya mahospitali utafahamu

Daktari wa sasa wamekuwa watu wa maelezo mengi yasiyohusiana na matokeo husika ya vipimo, mfano hapa karibuni kuna moja ya hospital nilifika na mgojwa wangu ambaye aliingizwa kwenye vipimo vikubwa mpaka ile CT scan lakini bado madaktari wa sasa walishindwa kutoa majibu yanayoeleweka huku mgongwa akiwa bado anateseka na ugonjwa wake

Niseme tu hata Mimi na Degree yangu ya ualimu wa masomo ya kingereza na kiswahili, naweza kwenda kusoma udaktari wa sasa na nikahitimu vizuri yani nianze huo mwaka wa kwanza mpaka wa 5 au 7 nikitoka hapo nitakuwa daktari mzuri bila kujali Combination yangu ya HKL advance, I promise you guys naweza kuwa doctor kama huamini nilipie ada uone
Mumewasema walimu weeee! Mmewadharau weeeee sasa mmehamia kwa madktari tena, nipo hapa nasubiri itakapo fika zamu ya JWTZ.
 
Back
Top Bottom