Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
kiwatengu mimi ndiye mwenyekiti wa kudumu na hakuna alowahi kunipindua tangu nimpindue Baba V na mke wangu ni yuleyule umjuaye.... Chocs wa ukweli mwenye mautamu niyapendayo..joto langu la ukweli....hapa kifo tu ndo kitatunganisha....!
Rais ni Arushaone
Arusha Juu daima
BTW Nalimiss sana jukwaa letu
Sasa ningepajua ningeuliza?
Mupenzi ebu kuja uthibitishe hii kauli...

Miss u so much jamani....I miss you too jaman
lolote linawezekana baba baroko ouops ur not baba paroko anymore
Mupenzi ebu kuja uthibitishe hii kauli...
kiwatengu mimi na miss chagga hatukukutana barabarani bana ila Ntuzu na mwallu ndo wanaleta fujo
Nampenda sana sana miss chagga bana
miss chagga huyu kiwatengu hajui haya mambo
Yeye kan'ang'ania sehem moja tuu miaka na miaka
Hata mke akitoroka kwenda kwao yeye bado yupo tuu habadiliki
labda kama hutashuka kwenda kukojoa ukienda tu unalo wanakaa wengine
Hahahahah duuuh....mi silazimishi ndugu mwandishi nawakumbusha wajibu tu
hii nayo ndoa ama ndoana...........? ukistaajabu ya flora mbasha utayaona ya mwallu na Mentor