Kwahiyo full kujiachia saizi....
Kujiachia nini?
Acha vituko ....mmmmh hapa ebu mlete shost aje anisaidie kujibu kajifiiiiiiiicha sijui aogopa nini.
Mmezoea sana kudanganya nyie!
Acha vituko ....
Useme wewe aje akujibie mwingine?
Marhabaa bint yangu mimi...sijanywa chai ujue hebu cheki eateli mane ya mkwe huko
nakuaminia shem komaa vitu vizuri haviitaji haraka.
kumbe sio kwa wakwe tu! shkamoo mamaake
mke wangu
Hadi uniletee gari yangu ndo ntapokea shkamoo yako
ila mwalimu wangu alinifundisha kuwa ngoja ngoja .....................
Hadi uniletee gari yangu ndo ntapokea shkamoo yako
You know and they know i can't do that!
Ahahahaha..
Af kumbe we wifi yangu
Hahaaaaaa mom unanivunja mbavu hutaki mchezo!!