Aah hakuna mchezo karne ya 21 hii
kwa raha zako mamy ndo faida ya kuzaa na hasa awe baby girl we ni kuagiza tu!!
hahahaha ongeza speed lol
Kuna Mtu anaitwa Bulldog....ati ni binamu yake
nakuaminia my kaka
Kaka yetu kwa wiki hizi mbili tu katupatia mawifi wawili..hapana chezea ngosha
huyo mmoja kashakuwa x ujue
Ooh.... Nimechelewa kujua..afadhali
Kaka yetu kwa wiki hizi mbili tu katupatia mawifi wawili..hapana chezea ngosha