he he he he he hehehe uwiii eti mapenzi
aisee aisee aisee nimeona jina lako moyo wangu ukaruka pwaaaaaaaaaaaa
Nilivokumiss sasa!
Mchukue na dada yake kabisa. Mi simtaki tena. Mwanamke kıgeugeu kama dola ya Zimbabwe. Nimeamua kwa moyo wa dhati kuhamishia mapenzi yangu kwa miss neddy.
Ukome kuniCC mauchafu yenu. Nimesemaje....?
aisee aisee aisee nimeona jina lako moyo wangu ukaruka pwaaaaaaaaaaaa
Bado unanihitaji kule mtaa wa pili??
Natamani nikumwagie tindikali
Marhabaaa....hujambo mkwe?
Unamuonea Chocs, mie nina mke ujue
Mkwe naona unakisiana tu na watu eeh
Nakuhitaji sana jamani babu wee lol
Huyu nae pia....?