Huyu mwanamke ndo anamkis Mme wangu anatafuta kesi.
Heeee shemeji kuna nini hapa????
Madamu na mumeo amekuona mi sina neno
Marhaba mkwe...kale ka milioni umeshaniwekea tigo pesa?
Na mie naruhusiwa kukuomba Mentor
aisee bora nisinngeuliza duu,hakuna kitu kinauma kama kujua lahazizi anamkumbuka x wake lol.
Nilikuwa sina mpango wa kuloga mtu mwaka huu. Kuna mtu hapa atabadilishwa jinsia soon afu kimwaga upepo chake nakihamishia usoni.
Watch me...
Hahahahahaha
Huyo ni wako tu usipate puresha
Mie nina wangu,nilimmiss tu sikua nimemwona longii
Fumanizi fake
Anhaa kumbee...
Mam na mkweo mambo gani haya tena??
Marhaba mkwe...kale ka milioni umeshaniwekea tigo pesa?
Mchukue na dada yake kabisa. Mi simtaki tena. Mwanamke kıgeugeu kama dola ya Zimbabwe. Nimeamua kwa moyo wa dhati kuhamishia mapenzi yangu kwa miss neddy.
Kwani kuna ubaya gani daughter....huyu si mkwe wangu?
hahahaha ukiwa na njaa ndo unakumbuka kiporo eeeeh
teh teh yy vimilioni mimi magari?
teh teh yy vimilioni mimi magari?
Hujawahi kuwa kiporo changu. Tafadhali usiukatili moyo wangu.
Mmmh...
Usijali mke mwenza me nawe...