siku izi mnaitana mashemeji?
kesho jumanne, wiki imeisha inabidi gazeti jingine liingie hewani.
nina news za kutosha hapa nazifanyia filtering tu!!
Ole wako nimwone my daughter front peji
afu wewe khantwe wewe!!!
Kwani mwanzoni tuliitaneje mwandishi? Hujui ka mchumba wa mdo wangu huyu???
Wee tunakutafuta wewe ulifia wap Shem?? Emu ngoja nimwite valentine akuje nimpongeze. Kwema lakini?
siogopi hata kidunchu...
tulia wewe!! mi na mama tukizungumza unatakiwa ukae kimya..
Koho koho....
Bora umekuja mwenzangu nini kwanza mbona ivo tena? kwanza hongera umemtoa wapi huyu bwana? Au ndo mfungo?
Kifua ki. me ba na... Siwezi kuongea.. .