Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,681
- 8,736
Nani anakufanya nini miss neddy....? We kitinda mimba hupaswi kuguswa vibaya ati
si miss chagga hasira za kupokonywa tonge na Khantwe anataka kuzigeuzia kwangu lol
hahahahaha hata sisi mawifi hatukutaki usije kumfilisi wakati ukoo mzima tunamtegemea huyo huyo
Nani anakufanya nini miss neddy....? We kitinda mimba hupaswi kuguswa vibaya ati
Bas aoe ukoo wake mi siwez mapenz na njaa
Kitenesi amempitia
Atulie huko huko.kamroga Mr Rocky....kamfanya bushoke...kwa kaka yetu kashindwa..asikusumbue asee
mwallu, kiwatengu, mwekundu, Honey Faith, Khantwe, Mentor, Ntuzu, mwallu, Tized, Mndengereko mbona maneno yamewazidi
Mimi kupendwa na miss chagga mara kahonga sana mara kafanywa ATM mara mchepuko mara #teambazazi mara kawekewa limbwata mara sijui kafa kaoza mara hajielewi mbona maneno mengi
Mimi na miss chagga tunapendana hatuna limbwata wala mchepuko ni mapenzi ya dhati tuu miss chagga anapewa hela ya salon tuu na kupendeza na hanichuni wala nini
Na mwekundu mimi sio #teambazazi bana ni mtulivu sana na hii kuchepuka imeruhusiwa mpaka na mke wangu halisi Dena Amsi
miss u more usijitoe mazima huko nimeshangaaa leo hujanitaja mmmmmh
We nae ushauri gani huo hebu kalale huko....mxiiiiuuu
hata mimi ananirusha roho, huu ujirani huu wa kuitana kaka nimeuchoka
nipo hapa mkwe mtarajiwa, hata mwanao anani miss.
By Mtoto halali na hela Kama hatujakosana nini kinatufanya kutengana nao
mama! kumbe wewe unaangalia kujaliwa tu?
na siyo upendo kwa mwanao?
Dawa gani unayoijua wewe kuwashinda wakwe zangu