miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
sawa mpenzi wangu Mr Rocky ... baby embu simama nikuweke kola ya shati vizuri na kiatu ujafungu tulia basiTwende zetu achana na kiwatengu na the co. maana hawaishiuwi maneno mpendwa wangu
Njoo hapa nikumbatie kwa huba achana na akina mwekundu, mwallu, kiwatengu, Ntuzu, mwallu, Honey Faith, Mndengereko, Tized na Mentor hawa wameishiwa sera kabisa
Honey Faith nimekuja...tuongee hapa hapa au twende chamber!??Yani huyu Mentor sijui yuko wapi?Hebu njoo huku umuone mume wangu aliyeniweka ndani nakula kwa kujinafasi
Timu zangu zilikuwa Italy na France ,bado vijana kina Pogba,Matuidi,Varane wanatuwakilisha
Twende zetu achana na kiwatengu na the co. maana hawaishiuwi maneno mpendwa wangu
Njoo hapa nikumbatie kwa huba achana na akina mwekundu, mwallu, kiwatengu, Ntuzu, mwallu, Honey Faith, Mndengereko, Tized na Mentor hawa wameishiwa sera kabisa
Honey Faith nimekuja...tuongee hapa hapa au twende chamber!??
Tuongee hapa hapa.Ngoja nikuitie my everything aliyeniweka ndani mtoto nimetulia cc. Rogie.
siamini kama unajiuza aisee...
Mentor unataka kumzunguka mbuyu ndugu yako?Honey Faith nimekuja...tuongee hapa hapa au twende chamber!??
Tuongee hapa hapa.Ngoja nikuitie my everything aliyeniweka ndani mtoto nimetulia cc. Rogie.
Just like the old days
Ulitakiwa umchunguze mumeo kabla hajainua mguu sasa inaonesha ni jinsi gani haujui kumuhudumia mumeo missChagga
haya bana, nakumbuka hata mwanzo ilikuwa hivi...
hebu tulia kwanza...
mrembo, nguvu unayotumia ni kubwa sana.
Just like the Old days bro...
Sina nia hiyo kaka !!!!
Mentor unataka kumzunguka mbuyu ndugu yako?Honey Faith nimekuja...tuongee hapa hapa au twende chamber!??
Tuongee hapa hapa.Ngoja nikuitie my everything aliyeniweka ndani mtoto nimetulia cc. Rogie.
Just like the old days
ndiyo maana nimeona hivi wewe una nini mbona mchokozi?
Hata sina kitu mie nimesema tu mumie.Msalimie baba yako utafiti