Uje nazo za nini nishakukataza mbona huelewi njoo kama ulivo.
ulikuwa ujui aii mie mdogo nadekaDuh kumbe missChagga ni bi mdogo?Makubwaaaaaa
Honey Faith kipi usichoelewa hapo yaani ina maana hata picha huoni aise
Bora asirudi kabisa miss chagga hapa ametulia kabisa hana wasi wasi na hana shida na huyo Ntuzu wako
mwallu dah ulozi hakuna bana ni kawaida tuu
Hivi kwa nini unawapa chakula watu wasiokuwa na njaa?
ok..mpe mumeo taarifa kabisa..
bora umwambie aelewe.. mwallu umesikia, hatujakutana bara barani
Nakupenda zaidi na zaidi mpenzi wangu miss chagga Kaizer ukisikia umbea ndio huo huyo umukagame wamuitia nini huku wakati watu wanaendeleza malove davi Ntuzu jipe moyo na Khantwe atakuacha na wewe soon atakapolishwa maugali ya kisukuma na kulimishwa mashamba kama maksai
Ndio.😛
Teh Teh Teh Teh
Khantwe ni malikia wangu YEYE muda wote amekaa anakagua RIPOTI Na mahesabu ya makampuni yetu! Sasa hayo mashamba atayaonea wapi?
Chakula analetewa Na nyumbani Na kampung ya FOOD ON WHEEL Kutoka mighawa Na hotel mbalimbali! Sasa hayo Maugali atayaonea wapi?
Aisee yan nikisikia jina la Ntuzu limehusishwa na miss chagga roho inatamani kutoka
Aaaaah kumbe we ndo bamdogooo.....mama'ngu yuko juuu....
Usijali miss chagga hana madhara. Kuna mmoja anachezewa kama lile joka la kwenye maonesho ila simtaji hapa.