Udaku Special!! 3rd Edition... Full Nondo!!!

hahaha umemnyima noti eeeeh

eti unasikia tu usiku yani leo nimeingiza bank milion 10... najikomba komba mpenzi Ntuzu wangu naomba milion tano oooh ziache zikae bank ndio jibu lake nani kasema hela inakaa bank .... mwambie huyo kaka yako pesa matumizi ..... akakae na wasiojua matumizi kama yeye.
 
hahahahaha hata sisi mawifi hatukutaki usije kumfilisi wakati ukoo mzima tunamtegemea huyo huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…