sio mimi.
una mashtaka ya nini tena mdada mzuri?
afu wewe ule mpango uliukatilia mbali ama?
pole sana, aibu yakufumaniwa mbaya sana!! siku izi wanachoma kabisa kikojoleo kwa moto.
hongera sana kama umenusurika
ok! but it wont happen coz my wife stopped me
lazma nifike mbali kwa sababu hata wewe hauko karibu
basi pole, ndiyo maana unaongea kwa upole kiasi hichi?
sema kimya kimya basi na wewe
eeeh!!
kwangu tu ama?
afu nini maana ya kibamia?