Mkuu
Mapi nasingiziwa tu hapa. Ila natibu ndoa, kurudisha mpenzi aliepotea, kushikizisha mwizi wa mkeo (lile tuko la Temeke ni moja ya kazi zangu) Natibu waliokosa maumbo ya namba nane, naongeza makalio na hipsi za kufa mtu, kusafisha nyota na kupandishwa vyeo..... Kumtoa M-PESA ndugu au mzazi au yeyote yule
sina huo uwezo (kafara).
Bila kusahau tatizo sugu la nguvu za kiume... nina dawa toka Naijeria inamaliza tatizo kabisa (ni dawa ya mitishamba). Kama wahijaji tafadhani niPM.
Cc
Ntuzu,
Mentor,
kiwatengu na
Mr Rocky etc