Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
mama hujambo...?
Sijambo mzima wewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mama hujambo...?
😱😱😕😕😕 dada!!!!
Mkuu Mapi nasingiziwa tu hapa. Ila natibu ndoa, kurudisha mpenzi aliepotea, kushikizisha mwizi wa mkeo (lile tuko la Temeke ni moja ya kazi zangu) Natibu waliokosa maumbo ya namba nane, naongeza makalio na hipsi za kufa mtu, kusafisha nyota na kupandishwa vyeo..... Kumtoa M-PESA ndugu au mzazi au yeyote yule sina huo uwezo (kafara).
Bila kusahau tatizo sugu la nguvu za kiume... nina dawa toka Naijeria inamaliza tatizo kabisa (ni dawa ya mitishamba). Kama wahijaji tafadhani niPM.
Cc Ntuzu, Mentor, kiwatengu na Mr Rocky etc
kaa mbali na ndoa yangu..
Shikamoo mume wangu
Majanga hayo sasa...bora unikatalie tu
hahahahaaaaaaaa jamani
Stay away from my daughter....nina mkwe wangu First Born ananijali sana
Wifi yangu mzima we we? Ukija TANGA kwa kaka kimya kimyaa
we sema tu mambo..! wenzako twala vitam huku...
. romantic eyes niko nae hapa..
we sema tu mambo..! wenzako twala vitam huku...
. romantic eyes niko nae hapa..