Udaku Special, 4th Edition: Critical

Udaku Special, 4th Edition: Critical

Sichepukagi hata siku moja. Njia kuu kwangu ndo mpango mzima. Ndo maana hata ulipoamua kuhangaikaaa mi nimetulia. Kuku Wangu mwenyewe VP untoe jasho? Nilijua utarudi tuu
Ndio maana nakupenda na wala sijajuta kukfahamu...
Nakupenda my koku.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mapi nasingiziwa tu hapa. Ila natibu ndoa, kurudisha mpenzi aliepotea, kushikizisha mwizi wa mkeo (lile tuko la Temeke ni moja ya kazi zangu) Natibu waliokosa maumbo ya namba nane, naongeza makalio na hipsi za kufa mtu, kusafisha nyota na kupandishwa vyeo..... Kumtoa M-PESA ndugu au mzazi au yeyote yule sina huo uwezo (kafara).

Bila kusahau tatizo sugu la nguvu za kiume... nina dawa toka Naijeria inamaliza tatizo kabisa (ni dawa ya mitishamba). Kama wahijaji tafadhani niPM.
Cc Ntuzu, Mentor, kiwatengu na Mr Rocky etc

ha ha sawa mzee wa mitishamba.
 
Last edited by a moderator:
Ndio maana nakupenda na wala sijajuta kukfahamu...
Nakupenda my koku.
Leo nimekuandalia dinner nzuri. Then mtoko tukacheze zilipendwa.. Welcome home hubby
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Dawa ukiituma ikafanye kitu ambacho sio sawa na cha haki huwa inagoma. kwa hio hapo utaalamu wangu unagonga mwamba kaka

sasa nini maana ya utaalamu wako joh!! we sema chochote mi nitalipa
 
Back
Top Bottom