ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Ndio maana nakupenda na wala sijajuta kukfahamu...Sichepukagi hata siku moja. Njia kuu kwangu ndo mpango mzima. Ndo maana hata ulipoamua kuhangaikaaa mi nimetulia. Kuku Wangu mwenyewe VP untoe jasho? Nilijua utarudi tuu
Nakupenda my koku.
Last edited by a moderator: