Udaku special, toleo maalumu kali Kuliko

Udaku special, toleo maalumu kali Kuliko

jamani mme wangu mwongo huyu me nashinda kazin na huwa napitia kwa mama, huyu First Born ni kijana anaempenda mdogo wangu hivo nikienda kwa bmkubwa nakuta kakaa getn anamsubiri dogo atumwe dukani. Alafu dear huyu mwandishi...ntakuambia tukiwa chumbani.

teh teh teh kweli kabisa, sitaki kukuharibia ndoa jamani...
 
Last edited by a moderator:
Kijana anayekuja kwa kasi [USER=48149 said:
First Born[/USER] amsarandia mkewe janeth1 mchana na usiku.
uzururaji unaweza kumponza.

........
huyu shemeji bhana kwangu na ndoa yao naitambua kabisa ndg mwandishi...
 
Last edited by a moderator:
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu na vipaji vya kufukua makaburi. uran umefufukia wapi mkuu
 
Back
Top Bottom