Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakuu, nimewamiss sana, tena kuliko aisee!
i am partially back!... nimeshangaa sana kwenye huu uzi wa kiwatengu sijaona scandal ya miss neddy na utafiti! au kiwatengu kahongwa eenh?
by the way, nasikitika kuwatangazia kuwa, kulingana na hali niliyoikuta ndani ya ndoa.. NIMEAMUA KUIVUNJA KWA PANGA MOJA, NIMEIVUNJA RASMI...
Hii kali aisee.. utafiti? is this you my besr friend? afu na Mr Rocky wakawa wanaangalia tu bure bila kukanya? ati Tized, Mndengereko, is this fair, fare or fear?....
i am going back...
french kiss for utafiti?... hizi sasa presha za kujitafutia....
kumbe mlianza mapema eenh?
Kibo10, thanks kwa info mkuu...
kaka Molembe, thanks very much kaka kwa kunikumbuka...
I MISSED YOU ALL GUYS!... SOON NTAKUWA HEWANI...
![]()
yupo mbona? sema ndio hataki kabisa kuja tena huku CC kuna kitu
kibaya sana mke wake 'Valentina' kamfanyia.
asubuhi nikikutana nae kule jukwaa la elimu
yupo mbona? sema ndio hataki kabisa kuja tena huku CC kuna kitu
kibaya sana mke wake 'Valentina' kamfanyia.
asubuhi nikikutana nae kule jukwaa la elimu
Nawe ni mmojawapo kati ya wachawi kwenye ndoa yangu kumbe
Mambo mamie!Pole kwa wakati huu mgumu unaopitia muombe sana Mungu akuondoshee haya majaribu
Nawe ni mmojawapo kati ya wachawi kwenye ndoa yangu kumbe
bibii wee naona umeanza kukamata wachawa unawapa za uso. Uko poa mumy!
We acha tu hawa wachawi wataumbuka muda si mrefu,naanza kuonyeshwa. Mie mzima mpendwa
Anawafanyia maombibibii wee naona umeanza kukamata wachawa unawapa za uso. Uko poa mumy!
hahahahaa kumbe ni upako unafanya kazi nakwaminia umebadilisha systm ya kukemea unatoa makavu laiv.
ha ha ha ...we achana na mke wa mtu.
Anawafanyia maombi
Upako wa baraka....
Hivi mke wangu na wewe si unajua kuombea