Udaku special, toleo maalumu kali Kuliko

Surely nimewamiss jamani... nazama kila thread kusema tu neno 'i miss you all'

miss you like crazy!!!!...

Last edited by a moderator:
Mkuu Excel karibu sana, We have missed you Bro. Pole na hongera sana kwa majukumu ulionayo Mkuu.

Mkuu hii habari ya Chem miss neddy na utafiti ndio naisikia kwako kaka. Kulikoni umedelegate hadi haki yako ya msingi?

wakuu, nimewamiss sana, tena kuliko aisee!

i am partially back!... nimeshangaa sana kwenye huu uzi wa kiwatengu sijaona scandal ya miss neddy na utafiti! au kiwatengu kahongwa eenh?

by the way, nasikitika kuwatangazia kuwa, kulingana na hali niliyoikuta ndani ya ndoa.. NIMEAMUA KUIVUNJA KWA PANGA MOJA, NIMEIVUNJA RASMI...

Hii kali aisee.. utafiti? is this you my besr friend? afu na Mr Rocky wakawa wanaangalia tu bure bila kukanya? ati Tized, Mndengereko, is this fair, fare or fear?....

i am going back...

french kiss for utafiti?... hizi sasa presha za kujitafutia....

kumbe mlianza mapema eenh?
Kibo10, thanks kwa info mkuu...

kaka Molembe, thanks very much kaka kwa kunikumbuka...

I MISSED YOU ALL GUYS!... SOON NTAKUWA HEWANI...

10988940-dramatic-inscription-miss-you-on-wet-golden-beach-sand-in-sunset-light.jpg
 
Shemeji....umekuja na hasira...Vuta pumzi kwanza
 
Last edited by a moderator:
Excel mbona hii habari yako naiona ni breaking news kabisa utafiti hebu kuja kipande hii utueleze habari zako na miss neddy Excel karibu sana mkuu tulikukosa sana humu jamvini aise
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom