mwallu
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 6,787
- 4,210
Haaaaaaa.,Hii kampeni ya kumuwahisha kaka yangu uzeeni lengo lake ni nini?
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtake atoe tamko la kuniondoa kwenye orodha ya #teamBazazi plizi...
Leo ntakuja na mke wangu Heaven on Earth kufanya fujo ofisini kwenu. mia
mwekundu unanitakafigganigga anajipakaza shombo mtoto Heaven on Earth wanakula wengine
Ngojea aje
hapana nakutamani
Mume wangu nini kinaendelea
wakuu, nimewamiss sana, tena kuliko aisee!
i am partially back!... nimeshangaa sana kwenye huu uzi wa kiwatengu sijaona scandal ya miss neddy na utafiti! au kiwatengu kahongwa eenh?
by the way, nasikitika kuwatangazia kuwa, kulingana na hali niliyoikuta ndani ya ndoa.. NIMEAMUA KUIVUNJA KWA PANGA MOJA, NIMEIVUNJA RASMI...
Hii kali aisee.. utafiti? is this you my besr friend? afu na Mr Rocky wakawa wanaangalia tu bure bila kukanya? ati Tized, Mndengereko, is this fair, fare or fear?....
i am going back...
french kiss for utafiti?... hizi sasa presha za kujitafutia....
kumbe mlianza mapema eenh?
Kibo10, thanks kwa info mkuu...
kaka Molembe, thanks very much kaka kwa kunikumbuka...
I MISSED YOU ALL GUYS!... SOON NTAKUWA HEWANI...
![]()