Udaku special, toleo maalumu kali Kuliko

Udaku imepita ktk makutano ya ubungo Na kukuta Gari ya Mkuu kiwatengu aina ya @X5 ikiwa imesababisha foreni kubwa sn mpk baruti kutokana Na kuishiwa mafuta huku kiwatengu akikimbilia mafuta kwenye dumu Na kumuacha bibie shansarie akipagawa kwa kupigiwa mahoni!
 
Last edited by a moderator:

ha ha ha ...imebidi na wewe uwe mwandishi?
 
Last edited by a moderator:
Hah haaaaaaa kweli udaku special............ kiwatengu kwamba mimi natumia drones au!!!!??????
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…