Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
ha ha ha ...imebidi na wewe uwe mwandishi?
Udaku uwafanyie wenzako tu!!! Teh Teh Teh Teh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha ha ...imebidi na wewe uwe mwandishi?
Ntuzu ni mkopaji ana mkopo kwenye hii saccos karibu ataifilisi aise halafu si mlipaji
OLESAIDIMU anadaiwa na tunakaribia kuuza nyumba yake ya urithi Mndengereko kaweka bond mpaka boxer zake anazovaa maana hana tena cha kuweka bond Tized ameweka simu zake kwa sasa ndo maana haonekani hewani utafiti ameweka bond kitanda na godoro lake na seti ya tv hivyo kombe la dunia ataangalia kwa jiraniMkopaji ni Yule mmasai OLESAIDIMU Na mpambe wake Tized Na Yule drever wao mndengereko halafu hawalipi!
Cc: kiwatengu
Mkopaji ni Yule mmasai OLESAIDIMU Na mpambe wake Tized Na Yule drever wao mndengereko halafu hawalipi!
Cc: kiwatengu
Mr Rocky kwa kipindi hiki cha kombe la dunia nimemwambia wife akasalimie kijiji maana siku nyingi hajaenda, atarudi July 15OLESAIDIMU anadaiwa na tunakaribia kuuza nyumba yake ya urithi Mndengereko kaweka bond mpaka boxer zake anazovaa maana hana tena cha kuweka bond Tized ameweka simu zake kwa sasa ndo maana haonekani hewani utafiti ameweka bond kitanda na godoro lake na seti ya tv hivyo kombe la dunia ataangalia kwa jirani
OLESAIDIMU anadaiwa na tunakaribia kuuza nyumba yake ya urithi Mndengereko kaweka bond mpaka boxer zake anazovaa maana hana tena cha kuweka bond Tized ameweka simu zake kwa sasa ndo maana haonekani hewani utafiti ameweka bond kitanda na godoro lake na seti ya tv hivyo kombe la dunia ataangalia kwa jirani
Mr Rocky kama sijafanya hivo mpira nitaangalia kweli?
tatizo umempa set yake ya TV akaangalie Maria Clara au ameenda bila set
Dah usharobaro wote utamtoka aise umemkatili sana utafitiKijijini ata umeme hamna wacha akaendeleze kilimo asahau ya mjini kwanza
Mimi hapa.
My name is Kim nana.
Alikuwa anamaanisha SAYANSIKIMU
nlivyoona umenimention roho imenidundajeee...nikajua na mie udaku wangu ushawekwa hadharani....ndo natangazwaaaaaa!