Udaku special, toleo maalumu kali Kuliko

Udaku special, toleo maalumu kali Kuliko

Ndio kwanza nimemaliza hanimuni jana kwa wakwe zangu!! leo tunafanyiwa mila turudi bandani kwetu!! Yani we kiwatengu wewe !!! He he heeee!!!
 
Last edited by a moderator:
mchana kuna wanaopiga misele, ukiwa kwenye mishe zako.
mkeo anatembea....

Unamsingizia wife wangu, mie huwa niko nae bega kwa bega tunapiga kazi pa1.
Mfano muda huu tunaandaa shamba la viazi chips
 
jamani mme wangu mwongo huyu me nashinda kazin na huwa napitia kwa mama, huyu First Born ni kijana anaempenda mdogo wangu hivo nikienda kwa bmkubwa nakuta kakaa getn anamsubiri dogo atumwe dukani. Alafu dear huyu mwandishi...ntakuambia tukiwa chumbani.

Nilishakwambia wewe....yule kibaka unayependa kuongea nae atakuharibia ndoa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom