figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Leo ntakuja na mke wangu Heaven on Earth kufanya fujo ofisini kwenu. mia
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama inalipa itaandikwa.
au labda uipandilie dau..
Leo ntakuja na mke wangu Heaven on Earth kufanya fujo ofisini kwenu. mia
mchana kuna wanaopiga misele, ukiwa kwenye mishe zako.
mkeo anatembea....
jamani mme wangu mwongo huyu me nashinda kazin na huwa napitia kwa mama, huyu First Born ni kijana anaempenda mdogo wangu hivo nikienda kwa bmkubwa nakuta kakaa getn anamsubiri dogo atumwe dukani. Alafu dear huyu mwandishi...ntakuambia tukiwa chumbani.
Hatutaangalia mtu machoni tukija hapo. Tukiwaangalia usoni tunaweza waonea huruma. miaheaven ananijua hata karia...
Hahaha...hii karibu na ukweli....lol