Udaku special, toleo maalumu kali Kuliko

WATU Mnapenda Udaku Hivi Hamna Kazi Za Kufanya.Badala Ya Kuwaza Kutafuta Hela Mnawaza Mambo Ya Udaku.NGOJA NIPITE TU .Nisije Nikachelewa Kazini Bure.

usharudi kazini braza?
 
brother... welcome back..
usiivunje ndoa yako na miss neddy, the girl loves you so much...
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kiwatengu naona ndugu yetu uran acc yake wame hack moja kwa moja maana haonekani kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kiwatengu naona ndugu yetu uran acc yake wame hack moja kwa moja maana haonekani kabisa.

yupo mbona? sema ndio hataki kabisa kuja tena huku CC kuna kitu
kibaya sana mke wake 'Valentina' kamfanyia.
asubuhi nikikutana nae kule jukwaa la elimu
 
Last edited by a moderator:
yupo mbona? sema ndio hataki kabisa kuja tena huku CC kuna kitu
kibaya sana mke wake 'Valentina' kamfanyia.
asubuhi nikikutana nae kule jukwaa la elimu

Du! Basi hatari, nitamtafuta week end ni share nae experience.
 
Last edited by a moderator:
yupo mbona? sema ndio hataki kabisa kuja tena huku CC kuna kitu
kibaya sana mke wake 'Valentina' kamfanyia.
asubuhi nikikutana nae kule jukwaa la elimu

Nawe ni mmojawapo kati ya wachawi kwenye ndoa yangu kumbe
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…