Udangaji kwa wanachuo umezidi

Udangaji kwa wanachuo umezidi

wale wa ustawi ambao ukiwauliza walikuwa wanasema wanasoma course ya GPA bado wapo? kumbe wazaramo tu wametoka zao ambianse hapo wanajipanga mstari wakijifanya wanachuo. mtakufa kwa ngoma hadi mkome.
SwaLa la kufa lipo tu unaweza ukawa mtakatifu ukawahi kufa kabla hata ya mzinzi
 
Unakutana na mwanachuo club/baa eg. Samaki Samaki unamuelewa unachukua namba kesho yake mchana smart phone imeharibika anaomba laki 8 akanunue Simu mpya.
Hivi mnawazaga nn?
From what i know about women, mara nyingi ndani ya dakika 3 za kuongea na wewe lazima unakuta ashajua kabisa wewe ni mwanaume wa aina gani na lengo lako ni nini.
So, kama ndani ya 24hrs ashakupiga mzinga mrefu hivyo, just know pale ulipoongea nae mpaka ukaomba namba, alishajua waziwazi kua ile sehem kwenye kichwa chako ambapo ubongo ulitakiwa ukae, imekaa mbegu ya parachichi.!
Acha makasiriko mkuu, pambana tafuta hela na uwe na sera zinazovutia,. Ukifika hapo wala hutahangaika kula tunda kimasihara
 
Vitoto vya chuo vina njaa kama viwavijeshi

images - 2022-01-06T115913.371.jpeg
 
From what i know about women, mara nyingi ndani ya dakika 3 za kuongea na wewe lazima unakuta ashajua kabisa wewe ni mwanaume wa aina gani na lengo lako ni nini.
So, kama ndani ya 24hrs ashakupiga mzinga mrefu hivyo, just know pale ulipoongea nae mpaka ukaomba namba, alishajua waziwazi kua ile sehem kwenye kichwa chako ambapo ubongo ulitakiwa ukae, imekaa mbegu ya parachichi.!
Acha makasiriko mkuu, pambana tafuta hela na uwe na sera zinazovutia,. Ukifika hapo wala hutahangaika kula tunda kimasihara
Heee mbegu ya parachichi badala ya ubongo😂😂😂🙌
 
Back
Top Bottom