cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Toa namba yake tumuulize
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Toa namba yake tumuulize
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usije ukawa umekutana na mwanafunzi wa mchongo, kwanza hakuna hiyo kozi hapo Ardhi University [emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimeshamlima BLOCK, akaombe maprofesa huko huko chuo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mdogo wangu hiyo ni mbinu ya kuwakimbiza wanaume tusiowapenda. Yaani ulishaachwa kabla hujamblock
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Course ya GPA !
Siku hizi wana ujanja mwingi sana hawa watu,anakuwa na smartphone na kitochi,mkianza tu mahusiano utapewa namba ya kitochi na smartphone inafichwa,halafu baada ya siku mbili anakwambia alikuwa na smartphone ila iliharibika ndio maana anatumia kitochi,sasa hapo mzee kwakuwa umeshaonyesha umependa,na una li-Iphone lako lazima ujipinde kumnunulia simu ya maana ili anagalau mfanane,aisee these people are very clever...Unakutana na mwanachuo club/baa eg. Samaki Samaki unamuelewa unachukua namba kesho yake mchana smart phone imeharibika anaomba laki 8 akanunue Simu mpya.
Hivi mnawazaga nn?
hivi mtu akija kwako akajitambulisha kuwa ni mwananchi wa kawaida na hana mchongo wa maana ila amekuelewa sana anaomba muwe pamoja utamchukulia serious kweli?Inategemea umemuonyesha wewe ni mtu wa aina gani, kama umejitapa una pesa nyingi, gari kali aah anaona kwako simu it's a minor thing. So Be a gentleman acha masifa sifa.😀
huwezi ku pretend una hela ikiwa hauna hela mzee utaaibika mapema sana kwenye tests of faith😀!Hmuwajulilii hao. Unatakiwa umzungushe asitoke kwenye line kwanza. Usioneshe unaogopa au huna hela pretend unazo mpaka akuzoee. Mpaka ule tunda ndo ujue huna
Yes, Mimi kuna vitu vya mwanzo huwa naangalia kabla hata sijajua ni mwananchi wa kawaida or not. Jinsi unavoongea ustaarabu wako nk. Sasa ukija na hizo swagger una gari zuri, nyumba aah ni mapema sana kuanza kuniambia hayo ntaona kama una jeuri na kuringishia vitu vyako.hivi mtu akija kwako akajitambulisha kuwa ni mwananchi wa kawaida na hana mchongo wa maana ila amekuelewa sana anaomba muwe pamoja utamchukulia serious kweli?
Wengi taste yenu ni penye upepo wa hela sikuhizi😅!Yes, Mimi kuna vitu vya mwanzo huwa naangalia kabla hata sijajua ni mwananchi wa kawaida or not. Jinsi unavoongea ustaarabu wako nk. Sasa ukija na hizo swagger una gari zuri, nyumba aah ni mapema sana kuanza kuniambia hayo ntaona kama una jeuri na kuringishia vitu vyako.
Hakika...Wengi taste yenu ni penye upepo wa hela sikuhizi😅!
Hizi ni faraja tu tumezipokea kwa mikono miwili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora umuambie mwenzio huyo.Hupewi tundra mpaka urushe salio la maana
Binadamu wabishi kwerii kweriiHakika...
Kwa ubishi wa binadamu wa siku hizi watakupiga mawe...
Ahaaa pesa zinatafutwa tu muhimu ni upendo, tutatafuta wote, hahaWengi taste yenu ni penye upepo wa hela sikuhizi😅!
Hizi ni faraja tu tumezipokea kwa mikono miwili.
Wacha wee 😅😅😅Ahaaa pesa zinatafutwa tu muhimu ni upendo, tutatafuta wote, haha
unanicheka tena😛😂 muoneeWacha wee 😅😅😅
Itoshe kusema Wanachuo Wana NJAA kupitilizaUnakutana na mwanachuo club/baa eg. Samaki Samaki unamuelewa unachukua namba kesho yake mchana smart phone imeharibika anaomba laki 8 akanunue Simu mpya.
Hivi mnawazaga nn?