Udangaji kwa wanachuo umezidi

Udangaji kwa wanachuo umezidi

Unakutana na mwanachuo club/baa eg. Samaki Samaki unamuelewa unachukua namba kesho yake mchana smart phone imeharibika anaomba laki 8 akanunue Simu mpya.
Hivi mnawazaga nn?
Siku hizi wana ujanja mwingi sana hawa watu,anakuwa na smartphone na kitochi,mkianza tu mahusiano utapewa namba ya kitochi na smartphone inafichwa,halafu baada ya siku mbili anakwambia alikuwa na smartphone ila iliharibika ndio maana anatumia kitochi,sasa hapo mzee kwakuwa umeshaonyesha umependa,na una li-Iphone lako lazima ujipinde kumnunulia simu ya maana ili anagalau mfanane,aisee these people are very clever...
 
Inategemea umemuonyesha wewe ni mtu wa aina gani, kama umejitapa una pesa nyingi, gari kali aah anaona kwako simu it's a minor thing. So Be a gentleman acha masifa sifa.😀
hivi mtu akija kwako akajitambulisha kuwa ni mwananchi wa kawaida na hana mchongo wa maana ila amekuelewa sana anaomba muwe pamoja utamchukulia serious kweli?
 
Hmuwajulilii hao. Unatakiwa umzungushe asitoke kwenye line kwanza. Usioneshe unaogopa au huna hela pretend unazo mpaka akuzoee. Mpaka ule tunda ndo ujue huna
huwezi ku pretend una hela ikiwa hauna hela mzee utaaibika mapema sana kwenye tests of faith😀!

Unless otherwise ila utaangushiwa bill za maana mpaka ukimbie.
 
hivi mtu akija kwako akajitambulisha kuwa ni mwananchi wa kawaida na hana mchongo wa maana ila amekuelewa sana anaomba muwe pamoja utamchukulia serious kweli?
Yes, Mimi kuna vitu vya mwanzo huwa naangalia kabla hata sijajua ni mwananchi wa kawaida or not. Jinsi unavoongea ustaarabu wako nk. Sasa ukija na hizo swagger una gari zuri, nyumba aah ni mapema sana kuanza kuniambia hayo ntaona kama una jeuri na kuringishia vitu vyako.
 
Wengi taste yenu ni penye upepo wa hela sikuhizi😅!
Hizi ni faraja tu tumezipokea kwa mikono miwili.
 
Unakutana na mwanachuo club/baa eg. Samaki Samaki unamuelewa unachukua namba kesho yake mchana smart phone imeharibika anaomba laki 8 akanunue Simu mpya.
Hivi mnawazaga nn?
Itoshe kusema Wanachuo Wana NJAA kupitiliza
 
Back
Top Bottom