Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Itoshe kusema Wanachuo Wana NJAA kupitiliza
Waacheni watoto wasomeUnakutana na mwanachuo club/baa eg. Samaki Samaki unamuelewa unachukua namba kesho yake mchana smart phone imeharibika anaomba laki 8 akanunue Simu mpya.
Hivi mnawazaga nn?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata si kujitapa, huyo kapewa tu jibu la hapana kwa njia nyingine. [emoji1787][emoji1787] anajua tu kwa bomu hili huyu harudi.
Linaonekana lishamba lishamba kweli hili jamaaMdogo wangu hiyo ni mbinu ya kuwakimbiza wanaume tusiowapenda. Yaani ulishaachwa kabla hujamblock
Acheni Njaa zenu. Mnataka watu wabebe matatizo ya ukoo wenu kwa kipi?Linaonekana lishamba lishamba kweli hili jamaa
Sa we unaomba uchi si ukat.ombe mkeo, au tafuta wa kuoa. Mbona wadangaji wanaonekana? Kwanini mnawafata?Acheni Njaa zenu. Mnataka watu wabebe matatizo ya ukoo wenu kwa kipi?
Itoshe kusema wanachuo wanapenda vitonga![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Itoshe kusema Wanachuo Wana NJAA kupitiliza
Kuna mwingine anakuomba vikubwa akukimbizeMm nkiombwagwa ela nyingi au kitu cha thamani nafurahigi sana[emoji23][emoji23]Maana naona naonekana nna weza kutoa nlichoombwa
Uliombwa kuchukua namba?Unakutana na mwanachuo club/baa eg. Samaki Samaki unamuelewa unachukua namba kesho yake mchana smart phone imeharibika anaomba laki 8 akanunue Simu mpya.
Hivi mnawazaga nini?
Weka namba tuhakikisheWakati wa introduction alisema yeye anasoma Ardhi University, BSc. Architecture.